Meditation ya jua la asubuhi na jua la jioni.

Matunzo 02

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2026
Posts
1,620
Reaction score
3,165
Hii ni tahajudi bora sana.

Inaweza kukusaidia kupona ugonjwa ambao ujuwi umetoka wapi.

TAHADHALI.
kama unamwili dhaifu usijaribu maana itakufanya uwe mgonjwa, utapike, udhaifu , kutokujielewa.
fanya mazoezi hata ya kukimbia.

NJISI YA KUFANYA.
1.Kaa mkao wa yoga, au usimame kuangalia jua ( asubuhi kuanzia saa1- 2:00asubuh, jion saa 11:30- kuzama kwa jua).
2.anza kuliagalia jua. Mpaka uone ule mvilingo wa jua usione miale yake.
3.fumba macho waza jambo jambo unalotaka kama mguu unakuuma weka akili yako hapo.
4.(dakika 15) zinatosha kuanzia. Utaanza kujihisi mwepesi.
UCHAWI, LAANA, HATIA, KUKATALIWA, MIKOSI, N.K hutoweka.
wale wanaokataliwa kila sehemu dawa ni tahajudi hii.
 
Mkuu umenikumbusha., nikiwa primary
One day naenda sokoni nikawa nalitazama jua kwa kufumba na kufumbua kama kimulimuli kwa wastani wa 30second.

Ilikuwa jioni kama saa 11, sasa nilipotulia tu... Huku naliangalia jua aise niliona uso wa mtu ndani ya jua ukinitazama.

Nilishituka ghafla huku mapigo ya moyo yakiwa kasi sana, ikabidi nitafute sehemu nijibanze, nikaangalia tena liko kawaida.

Mpaka leo hua siamini nilichokiona mkuu.
 
kwenye ule mwanga wa asubuhi unamaajabu sana. Ulichokiona kinamaanisha wew chosen.
Uje ujaribu kufanya tahajudi ya jua then utanipa mrejesho.
 
Yes, na pia inaweza kuwa muda wowote lakini pia anza na muda unaoweza kuvumilia kutazama kisha automatic muda utakua unaongezeka
nakubaliana na wew maana mim kwasasa naweza kulitazama jua muda wowote ule na nisiumie wala macho kutoa machozi na mtu kutazama na naye macho kwa macho wengi wao huishia kutoa machozi.
 
mimi ni mdau mzuri sana wa kumeditation na kwakweli meditation ndio inaongoza maisha yangu najikuta tu nachomoka kwenye majanga mazito kwasababu ya miongozo ya ajabu sana na kwasasa nina uwezo wa kuona taswila ya vivuli vya wanadamu ambavyo vimezagaa sana kila mahala nafikili ni roho za watu ambao wameaga dunia na pindi ninapoviona uwa vinasepa kwa speed ya ajabu. ulimwengu una sili nyingi mno. mkuu ngoja nitatenga mda wangu kuifanya hii ya jua uwenda nami nikareta ushuhuda mpya
 
kwakwel zetu dua
 
Mkuu kuna comment ya mdau humu alisema meditation ina hasara pia ukifika kama hiyo level yako una muamusha mungu mke kwenye chakra ngoja nitakutag
 
Jua ni tiba, jua ni chaji ya kila kiumbe hai, na unahitaji walau dk 5 za jua la asbuhi
Kuna Dr. shoo alikuwa anaelezea mtu faida za jua akasema unatakiwa utoke saa 11 alfajiri ile mionzi ya jua inasaidia kutibu kansa na kutembea pekupeku angalau kwa dk 30 unatengeneza umeme wa mwili kujiponesha juzi a sinner saved by Christ aliigusia pia.
 
Ngoja nitajaribu hii
vp ni lazima kuwe na utulivu wa mazingira?
siyo lazma kikubwa nia yako tu mkuu mim nilishawahi kupatwa na ganzi kwenye kelele nikatumia tahajudi hii kupona hapo hapo kwenye kelele. Ukiwa na nia na utulivu wa akili inawezekana hata kama kuna kelele.
 
Back
Top Bottom