Meditation ya jua la asubuhi na jua la jioni.

mimi ni mdau mzuri sana wa kumeditation na kwakweli meditation ndio inaongoza maisha yangu najikuta tu nachomoka kwenye majanga mazito kwasababu ya miongozo ya ajabu sana na kwasasa nina uwezo wa kuona taswila ya vivuli vya wanadamu ambavyo vimezagaa sana kila mahala nafikili ni roho za watu ambao wameaga dunia na pindi ninapoviona uwa vinasepa kwa speed ya ajabu. ulimwengu una sili nyingi mno. mkuu ngoja nitatenga mda wangu kuifanya hii ya jua uwenda nami nikareta ushuhuda mpya
hii na mim unitokea hasa hasa usiku kuona vivuli ambavyo vimezagaa. Na unisaidia kujua jambo litakalotea future.
 
Yes, na pia inaweza kuwa muda wowote lakini pia anza na muda unaoweza kuvumilia kutazama kisha automatic muda utakua unaongezeka
Mi najua fix za mleta uzi.
Hadi wewe unakubaliana?
Uliwahi kufanya ikakusaidia hayo aliyosema OP?
 
Mkuu kuna comment ya mdau humu alisema meditation ina hasara pia ukifika kama hiyo level yako una muamusha mungu mke kwenye chakra ngoja nitakutag
ni kweli kabisa akuna kitu ambacho kina manufaa fulani alafu kikakosa madhara ata mimi kuna kipindi nadhani nilipelekeshwa sana na nguvu nilioiamsha kwaiyo ndugu zangu walikua wananiambia kuna muda uwa naongea vitu ambavyo avieleweki kwaiyo walisema nimechanganyikiwa akiri ila mimi nilikua najiona nipo sawa nashukuru ile hari ilipita sijawai tena kuambiwa ivo
 
kwenye ule mwanga wa asubuhi unamaajabu sana. Ulichokiona kinamaanisha wew chosen.
Uje ujaribu kufanya tahajudi ya jua then utanipa mrejesho.
I’ll try then ntakuja na mrejesho..!!
 
ni kweli kabisa akuna kitu ambacho kina manufaa fulani alafu kikakosa madhara ata mimi kuna kipindi nadhani nilipelekeshwa sana na nguvu nilioiamsha kwaiyo ndugu zangu walikua wananiambia kuna muda uwa naongea vitu ambavyo avieleweki kwaiyo walisema nimechanganyikiwa akiri ila mimi nilikua najiona nipo sawa nashukuru ile hari ilipita sijawai tena kuambiwa ivo
Duh... mbona ni hatari mkuu...
 
mimi ni mdau mzuri sana wa kumeditation na kwakweli meditation ndio inaongoza maisha yangu najikuta tu nachomoka kwenye majanga mazito kwasababu ya miongozo ya ajabu sana na kwasasa nina uwezo wa kuona taswila ya vivuli vya wanadamu ambavyo vimezagaa sana kila mahala nafikili ni roho za watu ambao wameaga dunia na pindi ninapoviona uwa vinasepa kwa speed ya ajabu. ulimwengu una sili nyingi mno. mkuu ngoja nitatenga mda wangu kuifanya hii ya jua uwenda nami nikareta ushuhuda mpya
Kiranga hii niaje?
 
Mkuu kuna comment ya mdau humu alisema meditation ina hasara pia ukifika kama hiyo level yako una muamusha mungu mke kwenye chakra ngoja nitakutag
nam nitag maana nimefika level hiyo
 
Hayo yote nilishapita miaka zaidi ya 30 nyuma kwa Rev. Pannasekara Buddhist temple and Meditation Center.

Mshana Jr anapajua.

Hizi ni tamaduni na saikolojia za watu tu.
Kwahiyo zina ukweli?
Nimeona mmoja kasema kuna Mungu mke..!
 
Back
Top Bottom