Meditation ya jua la asubuhi na jua la jioni.

Meditation ya jua la asubuhi na jua la jioni.

Ni mbwembwe za watu tu mkuu.

Hata wewe unaweza kuwa Mungu Mke kwangu ukinipa ninachotaka, kwani kuna ubaya?
mkuu kijana anaonekana alikua ana imani kubwa sana na wewe kwa kweli utakua umeivunja sana imani yake
 
siyo lazma kikubwa nia yako tu mkuu mim nilishawahi kupatwa na ganzi kwenye kelele nikatumia tahajudi hii kupona hapo hapo kwenye kelele. Ukiwa na nia na utulivu wa akili inawezekana hata kama kuna kelele.
Ganzi?
 
Hayo yote nilishapita miaka zaidi ya 30 nyuma kwa Rev. Pannasekara Buddhist temple and Meditation Center.

Mshana Jr anapajua.

Hizi ni tamaduni na saikolojia za watu tu.
Siku hizi hapana utulivu tena! Pamezungukwa na mafremu.. Temple mpya ya wachina iko pale Palm village
 
Siku hizi hapana utulivu tena! Pamezungukwa na mafremu.. Temple mpya ya wachina iko pale Palm village
Dah, mafremu tena?

Ngoja nirudi Temple nipige chini mafremu ya wafanyabiashara hekaluni kama Yesu!

Rev. Pannasekara yupo wapi mpaka imekuwa hivyo, yuko South au karudi kwao Sri Lanka?
 
Mi najua fix za mleta uzi.
Hadi wewe unakubaliana?
Uliwahi kufanya ikakusaidia hayo aliyosema OP?
Mimi situmii kwa meditation japo nimesoma sehemu tofauti nikaona faida zake
Kama umesoma baadhi ya hadithi za zamani inaelezea watu walikua wanaabudu jua (kuna power ndani yake)

Practically mimi nalitumia kupata energy na kipindi nikiwa consistent na mazoezi inasaidia sana kuufanya mwili kuwa active kuliko siku ambazo sijaangalia jua.
 
ndy mguu kufa ganzi ukitembea kuna kuwa kama kuna misumari inakuchoma sikuwa nimekaa wala kusimama muda mrefu nilikuwa natembea nashangaa mguu unakufa ganzi.
 
ndy mguu kufa ganzi ukitembea kuna kuwa kama kuna misumari inakuchoma sikuwa nimekaa wala kusimama muda mrefu nilikuwa natembea nashangaa mguu unakufa ganzi.
Kwa muda gani ? Na uligunduaje jua linaponya au ndio mambo ya elements
 
Dah, mafremu tena?

Ngoja nirudi Temple nipige chini mafremu ya wafanyabiashara hekaluni kama Yesu!

Rev. Pannasekara yupo wapi mpaka imekuwa hivyo, yuko South au karudi kwao Sri Lanka?
Yupo wamejenga orphage center Chanika
 
Hii ni tahajudi bora sana.

Inaweza kukusaidia kupona ugonjwa ambao ujuwi umetoka wapi.

TAHADHALI.
kama unamwili dhaifu usijaribu maana itakufanya uwe mgonjwa, utapike, udhaifu , kutokujielewa.
fanya mazoezi hata ya kukimbia.

NJISI YA KUFANYA.
1.Kaa mkao wa yoga, au usimame kuangalia jua ( asubuhi kuanzia saa1- 2:00asubuh, jion saa 11:30- kuzama kwa jua).
2.anza kuliagalia jua. Mpaka uone ule mvilingo wa jua usione miale yake.
3.fumba macho waza jambo jambo unalotaka kama mguu unakuuma weka akili yako hapo.
4.(dakika 15) zinatosha kuanzia. Utaanza kujihisi mwepesi.
UCHAWI, LAANA, HATIA, KUKATALIWA, MIKOSI, N.K hutoweka.
wale wanaokataliwa kila sehemu dawa ni tahajudi hii.
Aisee umenikumbusha,hii tuliitumia tukiwa wadogo,ukiumwa sungusungu inakubidi kulitazama jua kwa mda,maumivu yanapotea,Sasa naelewa kumbe ilikuwa meditation,Asante kwa Elimu nzur mkuu
 
 
 
 
 
 
Back
Top Bottom