Meditation ya jua la asubuhi na jua la jioni.

Meditation ya jua la asubuhi na jua la jioni.

ukiwa unaanza unapaswa kuliagalia jua.
Jua la asubuhi linapochomoza haliumizi macho na miale ya jua ni dawa ya jicho.
Ila kama umefungua jicho la tatu unafumba macho unafungua jicho la tatu unaanza kuagalia miale ile utaanza kujihisi mwepesi san kama vile unataka kupaa.
Sasa hapo kwenye jicho la tatu si hatua ya mbali sana na kubwa
 
Back
Top Bottom