Matunzo 02
JF-Expert Member
- Jul 7, 2026
- 1,620
- 3,165
karibu mkuu mim imenisaidia sana.Nafanyia kazi nitakupaa ma Jibu...
Asante Sana Ndg 🙏✍️karibu mkuu mim imenisaidia sana.
kwenye ule mwanga wa asubuhi unamaajabu sana. Ulichokiona kinamaanisha wew chosen.Mkuu umenikumbusha., nikiwa primary
One day naenda sokoni nikawa nalitazama jua kwa kufumba na kufumbua kama kimulimuli kwa wastani wa 30second.
Ilikuwa jioni kama saa 11, sasa nilipotulia tu... Huku naliangalia jua aise niliona uso wa mtu ndani ya jua ukinitazama.
Nilishituka ghafla huku mapigo ya moyo yakiwa kasi sana, ikabidi nitafute sehemu nijibanze, nikaangalia tena liko kawaida.
Mpaka leo hua siamini nilichokiona mkuu.
nakubaliana na wew maana mim kwasasa naweza kulitazama jua muda wowote ule na nisiumie wala macho kutoa machozi na mtu kutazama na naye macho kwa macho wengi wao huishia kutoa machozi.Yes, na pia inaweza kuwa muda wowote lakini pia anza na muda unaoweza kuvumilia kutazama kisha automatic muda utakua unaongezeka
Duh... kuna jamaa pia alishanambia hivyo but akanambia niwe naingia kwenye maombi zaidi.kwenye ule mwanga wa asubuhi unamaajabu sana. Ulichokiona kinamaanisha wew chosen.
Uje ujaribu kufanya tahajudi ya jua then utanipa mrejesho.
kwakwel zetu duamimi ni mdau mzuri sana wa kumeditation na kwakweli meditation ndio inaongoza maisha yangu najikuta tu nachomoka kwenye majanga mazito kwasababu ya miongozo ya ajabu sana na kwasasa nina uwezo wa kuona taswila ya vivuli vya wanadamu ambavyo vimezagaa sana kila mahala nafikili ni roho za watu ambao wameaga dunia na pindi ninapoviona uwa vinasepa kwa speed ya ajabu. ulimwengu una sili nyingi mno. mkuu ngoja nitatenga mda wangu kuifanya hii ya jua uwenda nami nikareta ushuhuda mpya
naaam kwa kweli sisi zetu ni dua tukwakwel zetu dua
meditation hii ni njia rahisi ya kujua japo hatua za mwanzoni unaweza kuumwa kama mwili wako ni dhaifu. Ukifanya ndoto utakazoota zitakupa picha kamili.Duh... kuna jamaa pia alishanambia hivyo but akanambia niwe naingia kwenye maombi zaidi.
Mkuu kuna comment ya mdau humu alisema meditation ina hasara pia ukifika kama hiyo level yako una muamusha mungu mke kwenye chakra ngoja nitakutagmimi ni mdau mzuri sana wa kumeditation na kwakweli meditation ndio inaongoza maisha yangu najikuta tu nachomoka kwenye majanga mazito kwasababu ya miongozo ya ajabu sana na kwasasa nina uwezo wa kuona taswila ya vivuli vya wanadamu ambavyo vimezagaa sana kila mahala nafikili ni roho za watu ambao wameaga dunia na pindi ninapoviona uwa vinasepa kwa speed ya ajabu. ulimwengu una sili nyingi mno. mkuu ngoja nitatenga mda wangu kuifanya hii ya jua uwenda nami nikareta ushuhuda mpya
Kuna Dr. shoo alikuwa anaelezea mtu faida za jua akasema unatakiwa utoke saa 11 alfajiri ile mionzi ya jua inasaidia kutibu kansa na kutembea pekupeku angalau kwa dk 30 unatengeneza umeme wa mwili kujiponesha juzi a sinner saved by Christ aliigusia pia.Jua ni tiba, jua ni chaji ya kila kiumbe hai, na unahitaji walau dk 5 za jua la asbuhi
siyo lazma kikubwa nia yako tu mkuu mim nilishawahi kupatwa na ganzi kwenye kelele nikatumia tahajudi hii kupona hapo hapo kwenye kelele. Ukiwa na nia na utulivu wa akili inawezekana hata kama kuna kelele.Ngoja nitajaribu hii
vp ni lazima kuwe na utulivu wa mazingira?