Matunzo 02
JF-Expert Member
- Jul 7, 2026
- 1,620
- 3,165
- Thread starter
-
- #21
hii na mim unitokea hasa hasa usiku kuona vivuli ambavyo vimezagaa. Na unisaidia kujua jambo litakalotea future.mimi ni mdau mzuri sana wa kumeditation na kwakweli meditation ndio inaongoza maisha yangu najikuta tu nachomoka kwenye majanga mazito kwasababu ya miongozo ya ajabu sana na kwasasa nina uwezo wa kuona taswila ya vivuli vya wanadamu ambavyo vimezagaa sana kila mahala nafikili ni roho za watu ambao wameaga dunia na pindi ninapoviona uwa vinasepa kwa speed ya ajabu. ulimwengu una sili nyingi mno. mkuu ngoja nitatenga mda wangu kuifanya hii ya jua uwenda nami nikareta ushuhuda mpya
Mi najua fix za mleta uzi.Yes, na pia inaweza kuwa muda wowote lakini pia anza na muda unaoweza kuvumilia kutazama kisha automatic muda utakua unaongezeka
ni kweli kabisa akuna kitu ambacho kina manufaa fulani alafu kikakosa madhara ata mimi kuna kipindi nadhani nilipelekeshwa sana na nguvu nilioiamsha kwaiyo ndugu zangu walikua wananiambia kuna muda uwa naongea vitu ambavyo avieleweki kwaiyo walisema nimechanganyikiwa akiri ila mimi nilikua najiona nipo sawa nashukuru ile hari ilipita sijawai tena kuambiwa ivoMkuu kuna comment ya mdau humu alisema meditation ina hasara pia ukifika kama hiyo level yako una muamusha mungu mke kwenye chakra ngoja nitakutag
I’ll try then ntakuja na mrejesho..!!kwenye ule mwanga wa asubuhi unamaajabu sana. Ulichokiona kinamaanisha wew chosen.
Uje ujaribu kufanya tahajudi ya jua then utanipa mrejesho.
Duh... mbona ni hatari mkuu...ni kweli kabisa akuna kitu ambacho kina manufaa fulani alafu kikakosa madhara ata mimi kuna kipindi nadhani nilipelekeshwa sana na nguvu nilioiamsha kwaiyo ndugu zangu walikua wananiambia kuna muda uwa naongea vitu ambavyo avieleweki kwaiyo walisema nimechanganyikiwa akiri ila mimi nilikua najiona nipo sawa nashukuru ile hari ilipita sijawai tena kuambiwa ivo
Kiranga hii niaje?mimi ni mdau mzuri sana wa kumeditation na kwakweli meditation ndio inaongoza maisha yangu najikuta tu nachomoka kwenye majanga mazito kwasababu ya miongozo ya ajabu sana na kwasasa nina uwezo wa kuona taswila ya vivuli vya wanadamu ambavyo vimezagaa sana kila mahala nafikili ni roho za watu ambao wameaga dunia na pindi ninapoviona uwa vinasepa kwa speed ya ajabu. ulimwengu una sili nyingi mno. mkuu ngoja nitatenga mda wangu kuifanya hii ya jua uwenda nami nikareta ushuhuda mpya
nam nitag maana nimefika level hiyoMkuu kuna comment ya mdau humu alisema meditation ina hasara pia ukifika kama hiyo level yako una muamusha mungu mke kwenye chakra ngoja nitakutag
Mungu mke yupi huyo? 😹Mkuu kuna comment ya mdau humu alisema meditation ina hasara pia ukifika kama hiyo level yako una muamusha mungu mke kwenye chakra ngoja nitakutag
jaribu kama uongo njoo useme hapa kwamba ni uongo hakuna faida.Mi najua fix za mleta uzi.
Hadi wewe unakubaliana?
Uliwahi kufanya ikakusaidia hayo aliyosema OP?
Ngoja nikakutag mkuu... pia kuna hii inaitwa "women thou art god" google utapata hayo magodess chungu nzima...Mungu mke yupi huyo?
Ni mbwembwe za watu tu mkuu.Kwahiyo zina ukweli?
Nimeona mmoja kasema kuna Mungu mke..!
Makubwa 😹Ngoja nikakutag mkuu... pia kuna hii inaitwa "women who created god" google utapata hayo magodess chungu nzima...
Hahahahaaaa unataka kula tunda kimasihara mkuuNi mbwembwe za watu tu mkuu.
Hata wewe unaweza kuwa Mungu Mke kwangu ukinipa ninachotaka, kwani kuna ubaya?
Dah! 😹Ni mbwembwe za watu tu mkuu.
Hata wewe unaweza kuwa Mungu Mke kwangu ukinipa ninachotaka, kwani kuna ubaya?
Tena la Goddess Lamomy 😈👿Hahahahaaaa unataka kula tunda kimasihara mkuu