camp konzi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 581
- 1,122
mkuu kijana anaonekana alikua ana imani kubwa sana na wewe kwa kweli utakua umeivunja sana imani yakeNi mbwembwe za watu tu mkuu.
Hata wewe unaweza kuwa Mungu Mke kwangu ukinipa ninachotaka, kwani kuna ubaya?
Ahahahaaa aibu naona mimi... little boy!Tena la Goddess Lamomy
Ganzi?siyo lazma kikubwa nia yako tu mkuu mim nilishawahi kupatwa na ganzi kwenye kelele nikatumia tahajudi hii kupona hapo hapo kwenye kelele. Ukiwa na nia na utulivu wa akili inawezekana hata kama kuna kelele.
Siku hizi hapana utulivu tena! Pamezungukwa na mafremu.. Temple mpya ya wachina iko pale Palm villageHayo yote nilishapita miaka zaidi ya 30 nyuma kwa Rev. Pannasekara Buddhist temple and Meditation Center.
Mshana Jr anapajua.
Hizi ni tamaduni na saikolojia za watu tu.
Huyu tunaelewana haiko shida.mkuu kijana anaonekana alikua ana imani kubwa sana na wewe kwa kweli utakua umeivunja sana imani yake
Huwezi kuelewa mambo ya wakubwa, you little boy!Ahahahaaa aibu naona mimi... little boy!
Dah, mafremu tena?Siku hizi hapana utulivu tena! Pamezungukwa na mafremu.. Temple mpya ya wachina iko pale Palm village
kwa kweli sisi zetu ni dua tu likalowezekana kuwa basi na liwe tuHuyu tunaelewana haiko shida.
Na mimi si mtu wa imani ni mtu wa facts.
Mimi situmii kwa meditation japo nimesoma sehemu tofauti nikaona faida zakeMi najua fix za mleta uzi.
Hadi wewe unakubaliana?
Uliwahi kufanya ikakusaidia hayo aliyosema OP?
ndy mguu kufa ganzi ukitembea kuna kuwa kama kuna misumari inakuchoma sikuwa nimekaa wala kusimama muda mrefu nilikuwa natembea nashangaa mguu unakufa ganzi.Ganzi?
Kwa muda gani ? Na uligunduaje jua linaponya au ndio mambo ya elementsndy mguu kufa ganzi ukitembea kuna kuwa kama kuna misumari inakuchoma sikuwa nimekaa wala kusimama muda mrefu nilikuwa natembea nashangaa mguu unakufa ganzi.
Yupo wamejenga orphage center ChanikaDah, mafremu tena?
Ngoja nirudi Temple nipige chini mafremu ya wafanyabiashara hekaluni kama Yesu!
Rev. Pannasekara yupo wapi mpaka imekuwa hivyo, yuko South au karudi kwao Sri Lanka?
Miale ya jua ina nguvu mkuu, hata mmea hauwezi kutengeneza chakula bila mwangaKwa muda gani ? Na uligunduaje jua linaponya au ndio mambo ya elements
Aisee umenikumbusha,hii tuliitumia tukiwa wadogo,ukiumwa sungusungu inakubidi kulitazama jua kwa mda,maumivu yanapotea,Sasa naelewa kumbe ilikuwa meditation,Asante kwa Elimu nzur mkuuHii ni tahajudi bora sana.
Inaweza kukusaidia kupona ugonjwa ambao ujuwi umetoka wapi.
TAHADHALI.
kama unamwili dhaifu usijaribu maana itakufanya uwe mgonjwa, utapike, udhaifu , kutokujielewa.
fanya mazoezi hata ya kukimbia.
NJISI YA KUFANYA.
1.Kaa mkao wa yoga, au usimame kuangalia jua ( asubuhi kuanzia saa1- 2:00asubuh, jion saa 11:30- kuzama kwa jua).
2.anza kuliagalia jua. Mpaka uone ule mvilingo wa jua usione miale yake.
3.fumba macho waza jambo jambo unalotaka kama mguu unakuuma weka akili yako hapo.
4.(dakika 15) zinatosha kuanzia. Utaanza kujihisi mwepesi.
UCHAWI, LAANA, HATIA, KUKATALIWA, MIKOSI, N.K hutoweka.
wale wanaokataliwa kila sehemu dawa ni tahajudi hii.
True but wanasema sometimes kuwa kila mtu yuko na element yake mwingine maji,moto,hewa....Miale ya jua ina nguvu mkuu, hata mmea hauwezi kutengeneza chakula bila mwanga