Medvedev: Jaribio lolote la kumkamata Rais Putin litakuwa sawa na tangazo rasmi la Vita

Hii vita inayoendelea nahisi viongozi wa dunia ya kwanza wana athari za mihadarati vichwani kwao.

Urusi inaua mamia na maelfu ya raia
NATO na UN wanapeleka silaha kuchochea ugomvi badala ya kupatanisha.

Mazuzu yamekalia kushabikia vita wakijinadi kupitia pande hasimu

Hawana huruma pande zote.
Vita hii ni kiwango chq juu cha uhayawani wa binadamu
 
Marufa yakizidi sana huzaa ujinga.
 
jamaa kawa chawa siku hz
 
Huyo amechanganyikiwa, kwani ni Urusi tu ndiyo inamiliki hayo mabomu au silaha za nyuklia? Ni nchi nyingi ikiwemo Marekani wanamiliki hizo silaha. Huko ni kukata tamaa na wanataka kusababisha vita vya tatu vya dunia itakayochochea matumizi ya nyuklia duniani na hata warusi wataangamia vile vile
 
Hizo ndaro ndaro zishatathminiwa sana, mlitoa ahadi nyingi na zote zimevunjwa mchana kweupe hakuna chochote putin alichoweza kufanya, sana sana putin akishakamatwa wanajeshi watiifu wataituliza urusi ili waondokane na udikteta maisha ya russia yarudi mahali pake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…