Medvedev: Jaribio lolote la kumkamata Rais Putin litakuwa sawa na tangazo rasmi la Vita

Bora tuangamie. Kwani kwa mfano wewe una faida Gani hapa duniani zaidi ya kujamba na kunya
 
Mrusi na China wametoka mbali sana. Wote wanashare sera za kikomunisti na Russia ana mchango mkubwa katika kuikomboa China enzi Mjapani anawanyanyasa🤣🤣🤣
Mrusi ana uwezo mkubwa kivita.

Na naweza fanya lolote.

Ikumbukwe CHINA yupo nae kundi moja.
Wanamakubaliano yao ya SIRINI.
Kumchokoza Mrusi ni sawa umemchokoza Mchina.
 
Mbali na Nuclear. Kwa Jeshi la sasa la Russia, ukiwekwa mkono kwa mkono, Russia hachomoki. German, UK, Japan n.k hawa ni watu haswa japo ni kama tunawachukulia simple ktk mapambano.
Hao wote ulowataja washafilisika kiuchumi na kijeshi tangu WW2
 
Uyo usa anayo na alishayatumia kuua watu,
Unalizungumziaje Hilo mkuu[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…