Meena Ally anaendaje Polisi kushitaki wakati ameishaikana video?

Status
Not open for further replies.

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Kuna mambo unaweza shindwa elewa yanaendaje hapa nchini

Mimi nimewaza kua Meena Ally kasema ile video sio yake na kasema huyo dada anafananishwa na yeye ila sio yeye.

Swali la kujiuliza ni kwamba Kama huyo mwenye video sio yeye Sasa yeye kafungua kesi ya nin polisi kuhusu hiyo video?

Anataka polisi wamkamate mtu ambae yeye hamjui ili apate faida gan?

Kwanin ahangaike kwenda polisi kwa jambo ambalo sio lake na hata hajui alielitenda?

Kwanin ajipe stress mitandaoni kwa kujibishana na watu wakati hiyo inshu sio yake?.

Why asitulie tu aendelee na maisha mengine mpaka serikali itakapo mfata yenyewe, kwanin ajikimbize polisi kujitetea kua sio yeye bila kuitwa?

Tanzania ina vituko sana
 
Sababu kuna video imeeditiwa na imeandikwa jina lake. Anataka hao waliofanya hivyo wakamatwe. Yupo sahihi, clouds wamsaidie na wengine pia tumsaidie huyu binti kuokoa carrier yake kulingana na nafasi zetu. Kama kasema si yeye basi sio yeye.
 
Video ina shida gani?

Au shida ni kuwa exposed?
 
Sababu kuna video imeeditiwa na imeandikwa jina lake. Anataka hao waliofanya hivyo wakamatwe. Yupo sahihi, clouds wamsaidie na wengine pia tumsaidie huyu binti kuokoa carrier yake kulingana na nafasi zetu. Kama kasema si yeye basi sio yeye.
Kwamba hapa Tanzania career yako itaharibika kisa nudes?

Wapo wengi ambao video na picha zao zilionwa na hadhara ila hadi leo wapo na maisha yao wengine wana hadi ubalozi
 
JLW lingekuepo hii video ningekua nishainasa
 
Hata wa mirinda alisema sio yeye na ambaruty hivyo hivyo

Ifike mahali waache kuwachezea polisi wana mambo mengi ya kufanya kuliko huu ujinga, ushawahi ona wapi mtu anakamatwa?
Atulie basi au kama vipi atupe part two
 
Kuna mambo unaweza shindwa elewa yanaendaje hapa nchini[emoji3].

Mim nimewaza kua Meena Ally kasema ile video sio yake na kasema huyo dada anafananishwa na yeye ila sio yeye. Very good[emoji817][emoji1490][emoji1490].

Swali la kujiuliza ni kwamba Kama huyo mwenye video sio yeye Sasa yeye kafungua kesi ya nin polisi kuhusu hiyo video?[emoji3]

Anataka polisi wamkamate mtu ambae yeye hamjui ili apate faida gan?[emoji3]

Kwanin ahangaike kwenda polisi kwa jambo ambalo sio lake na hata hajui alielitenda?[emoji3]

Kwanin ajipe stress mitandaoni kwa kujibishana na watu wakati hiyo inshu sio yake?.

Why asitulie tu aendelee na maisha mengine mpaka serikali itakapo mfata yenyewe, kwanin ajikimbize polisi kujitetea kua sio yeye bila kuitwa??[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tanzania ina vituko sana[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1487][emoji1487]

Sent using Jamii Forums mobile app
Huelewi sheria ndio maana unaandika kwa kutumia emoji zaidi badala ya hoja. Kaenda kushitaki kwa sababu ni damage kwake, wewe ikidaiwa umekunya meza ya hotelini na ukakana hakuna kinachoaminiwa kwa kanusho lako. Kwenda mahakamani utashitaki anayedai hivyo aje atoe evidence, akishindwa ndio kanusho lako limekamilika na hauko na hatia.

Meena anashinda mchana kweupe, kwanza kesi ni zaidi ya moja hata kama ni yeye (ambavyo haiwezi thibitishwa) bado kuna kesi ya kuvujisha picha za uchi. Nani atasimama aseme ndio karekodi video? Hayupo. Ila waliotoa connection ndio wanaweza kukanyagana
 
Mim nimewaza kua Meena Ally kasema ile video sio yake na kasema huyo dada anafananishwa na yeye ila sio yeye. Very good[emoji817][emoji1490][emoji1490].

Swali la kujiuliza ni kwamba Kama huyo mwenye video sio yeye Sasa yeye kafungua kesi ya nin polisi kuhusu hiyo video?[emoji3]

Meena Ally kaeleza vizuri kwamba hiyo clip ina water mark ya majina yake kamili na kituo chake cha kazi, ikionesha kwamba kuna watu wameandika kumchafua kwa kumuhusisha na mwanamke aonekanaye hapo...

Hadi hapo huoni kuna jinai?
 
Kuna mambo unaweza shindwa elewa yanaendaje hapa nchini[emoji3].

Mim nimewaza kua Meena Ally kasema ile video sio yake na kasema huyo dada anafananishwa na yeye ila sio yeye. Very good[emoji817][emoji1490][emoji1490].

Swali la kujiuliza ni kwamba Kama huyo mwenye video sio yeye Sasa yeye kafungua kesi ya nin polisi kuhusu hiyo video?[emoji3]

Anataka polisi wamkamate mtu ambae yeye hamjui ili apate faida gan?[emoji3]

Kwanin ahangaike kwenda polisi kwa jambo ambalo sio lake na hata hajui alielitenda?[emoji3]

Kwanin ajipe stress mitandaoni kwa kujibishana na watu wakati hiyo inshu sio yake?.

Why asitulie tu aendelee na maisha mengine mpaka serikali itakapo mfata yenyewe, kwanin ajikimbize polisi kujitetea kua sio yeye bila kuitwa??[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tanzania ina vituko sana[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1487][emoji1487]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwann una conclude kama kaenda kujitetea...
Yeye anaenda kushistaki jina lake na brand yake kuchafuliwa...kwahio yuko sahihi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom