Megastructures mlizozipinga zimeibadili taswira ya Tanzania, mlikurupuka kumkosoa Rais Magufuli

Isitoshe ndege zile Dreamliners sijui zinaruka kwenda wapi. Na zile zilizobaki kwanza uendeshaji wake hauna transparency maana Kasoma ya ATCL imehamishiwa Ikulu ambalo CAG haruhusiwi kukagua.
Ni sarakasi za kisiasa za kupiga pesa ndefu huku ngumbaru wanaooibiwa wakifurahia.

Kama haya manunuzi yangekuwa na ufanisi na manufaa kwa umma tungewekewa wazi mahesabu.
 
Yapo yakusikitisha na yapo yakupendeza...
Angalau wewe unamjua Mungu ndiyo sababu unakuwa honest hivi...Kila kitu kina uzuri na ubaya wake...Inategemea unachagua upande upi kwenye mjadala
 
Aya mambo waachie watu waelewa...tu .Inawezekana ata Ikulu ujui maana yake ata Katibu mkuu kiongozi ujui maana yake
Atcl kama shirika la umma lipo subjected kufanyiwa ukaguzi msidanganye watu.3
 
GDP ya data za kupika, majizi ya kura na wamwaga damu bana mna mambo.
 
Unaongea tu
 
Jamani mi nauliza ivi kwenye zile ajira milioni nane(m 8) za kujiajiri niasilimia ngapi na zakuajiriwa serikalini niasilimia ngapi,walio isoma ilani ya ccm na wanaosimamia utekelezaji wa ilani hiyo ya ccm naombeni ufafanuzi?

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Sasa mimi nakurupuka tena leo kumpinga sio lazima tumuunge mkono wote itakuwa nchi ya aina gani ambayo hakuna mwenye mawazo ya tofauti?
 
Kwa takwimu hizi za kupika siwezi kukubaliana na hili.
 
Hivi sisi watanzania kuhangaika na vitu vidogo vidogo Kama hivi shida ni umasikini wetu au shida ipo kwenye uwezo wetu wa kufikiri?
 
Leta picha za Jo'burg Park station na hizi Magufuli stations tufanye comparison kabla hatuja endelea na mjadala.
Hizi za kwetu zijui nani alipiga hiyo mchoro ..... Yaani mpaka uingie ndani ndiyo ujue uko stand. Ukiwa kwa nje you can't tell hiyo structure unayoiangalia ni kitu gani πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Ni shilingi ngapi hapo, na taarifa ni za CAG yupi, huyo CAG wa kuchonga ndio unatuletea taarifa zake hapa?
Ahaaa. Hoja yako ilikuwa ni kukaguliwa. Sasa umejua kuwa wanakaguliwa unaleta story za ajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…