Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Ni sarakasi za kisiasa za kupiga pesa ndefu huku ngumbaru wanaooibiwa wakifurahia.Isitoshe ndege zile Dreamliners sijui zinaruka kwenda wapi. Na zile zilizobaki kwanza uendeshaji wake hauna transparency maana Kasoma ya ATCL imehamishiwa Ikulu ambalo CAG haruhusiwi kukagua.
Kama haya manunuzi yangekuwa na ufanisi na manufaa kwa umma tungewekewa wazi mahesabu.