Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nadhani Waziri Mhagama ndio hakuelewa kuwa kupunguzwa kwa kodi ni njia mojawapo ya kuongeza mshahara. Alitakiwa alifafanue hilo kwa Viongozi wa wafanya kazi mapema kwani wao wamezoea kuambiwa mshahara umeongezeka kwa kiwango fulani!! Jenista ndio kalikoroga hapo, upeo wa mawaziri wetu na watendaji wengi ni mndogo hivyo kuelewa concept ya coordination itachukua muda!! Wamezoea kila mtu na MUHOGO wake!

Uko sahihi kabisa, hata Waziri Mkuu naye nilimsikia akisema kuwa tamko linakuja.Mapema Sana wakati anaapisha wateule wake wa Mwanzo Rais Samia alisema kuna tatizo kubwa la Coordinations serikalini...
Leo nimeona hili tatizo kati yake Rais na waziri wake Jennista Mhagama...
Na lack of coordination Kwa ujumla kutoka IKulu kwenda chini Kwa watu Wengine ..
Kama Samia alikuwa anajua haiwezekani kupandisha mishahara leo alipaswa kuwaweka wasaidizi wake mapema ili waweze 'kuwaandaa watu kisaikolojia'mapema...
Ajabu leo wafanyakazi wameaminishwa kuna 'tamko'linakuja na hata waziri Jenista Mhagama alishadadia kabisa kuwa Leo kuna 'tamko'..
Hotuba za vyama vya wafanyakazi naamini IKulu ilizipata mapema na hata arrangements za leo walishirikiana kati ya serikali na Viongozi wa wafanyakazi..
Serikali ingeweza kabisa kuwaeleza mapema kuwa mishahara mwaka huu ni ngumu lakini mwakani itawezekana..
Hii ingepunguza 'expectation kubwa 'iliyokuwepo leo..na hali ya 'dissapointment' baada ya hotuba...
Nimejiuliza je Jesnista Mhagama alikuwa hajui Rais hatapandisha mishahara leo?
Viongozi wa vyama vya wafanyakazi?..
Serikali ina vyombo vyake vya Ku leak taarifa kusudi..ili kupima upepo au kuwaandaa watu kisaikolojia...Leo mbona
Imekuwa tofauti?
Kama vile aliekuwa anajua kuwa mishahara haipandi Leo ni Samia peke yake...wakati kila mtu akiwemo waziri Jenista Mhagama walikuwa wana expect mishahara kupanda leo .tatizo lilikuwa wapi??
Samia ameanza kuwa 'anaogopwa'?
Kuna ukuta Kati yake na wasaidizi wake?
Kingine ilikuwaje Rais aseme hata yeye anakatwa kodi wakati haipo hivyo?
Mawaziri ,wabunge ,Ma Dc ma RC wameanza kukatwa kodi??..
Mbona kama Rais kaanza kuwa 'mkiwa'mapema? Kama wanaotakiwa kumsaidia hawamsaidii why asiwafukuze haraka?..
Binafsi nilishajua kwamba hilo suala halipo! Sio kwamba mimi ni Insider bali huwa siishi kwa mazoea!!!
Unajua zamani wafanyakazi walizoeshwa kutangaziwa nyongeza Siku ya Mei Mosi! Mwamba Che Ben, akaona hii kitu ya kuwa-tune wafanyakazi kwamba kila Mei Mosi wanatangaziwa kupanda mshahara ni jambo lisilo na afya!!
Akaachana na huo upuuzi!!
Sikumbuki JK kuwahi kutangaza kupanda kwa mshahara wakati wa Sherehe za Mei Mosi... labda nimepitiwa!! Sana sana watu walikuwa wanashtukia tu kuna elf 9500 imeongezeka!!!
Mwenda zake angekuwa ni mtu wa kupandisha mishahara, labda huyu ndo angeturudisha zama za Mwinyi kwa sababu Mwamba alikuwa anapenda sana kucheza na jukwaa!!
Anyway, hawa watu wa serikalini siku hizi wananitia uvivu sana kuwafuatilia kwa sababu, kwa kawaida huwa SIPENDI WATU WAONGO!
Sasa kama Jenister aliwaaminisha watu kwamba kutakuwa na ongezeko la mshahara basi atakuwa ni mpuuzi kweli kweli!!! Yeye amehudumu kwenye serikali iliyopita! Aliona lini na wapi serikali aliyokuwa anahudumu ikitangaza kupanda mshahara kwenye Sherehe za Mei Mosi!!!
Hilo jini makata Nani alikumbuke??? Mungu aendeleee kulitia Moto wa kutosha.
😂😂😂😂Kuwa na akili basi, bajeti ilishatengenezwa kukiwa hakuna fungu la nyongeza, sasa unataka yeye adange aongeze mshahara?
Aibu iliyoje! Mtoa msemo katoa na maana yake. Zwazwa aina yako hujibu kuwa anafikiri mbili mara mbili ni nne. Anafikiri nini?Kuna msemo wanasema
"Masikini hampendi mwana"
Nimefikiria mpaka sasa sijajua maana yake
Wataalam embu nisaidieni hapa
Yaani hata mie nilishangaa wafanyakazi mpaka,wakawa wameshatayarisha mabango kwa kujiamini na kauli mbiu eti' Mishahara juu...Binafsi nilishajua kwamba hilo suala halipo! Sio kwamba mimi ni Insider bali huwa siishi kwa mazoea!!!
Unajua zamani wafanyakazi walizoeshwa kutangaziwa nyongeza Siku ya Mei Mosi! Mwamba Che Ben, akaona hii kitu ya kuwa-tune wafanyakazi kwamba kila Mei Mosi wanatangaziwa kupanda mshahara ni jambo lisilo na afya!!
Akaachana na huo upuuzi!!
Sikumbuki JK kuwahi kutangaza kupanda kwa mshahara wakati wa Sherehe za Mei Mosi... labda nimepitiwa!! Sana sana watu walikuwa wanashtukia tu kuna elf 9500 imeongezeka!!!
Mwenda zake angekuwa ni mtu wa kupandisha mishahara, labda huyu ndo angeturudisha zama za Mwinyi kwa sababu Mwamba alikuwa anapenda sana kucheza na jukwaa!!
Anyway, hawa watu wa serikalini siku hizi wananitia uvivu sana kuwafuatilia kwa sababu, kwa kawaida huwa SIPENDI WATU WAONGO!
Sasa kama Jenister aliwaaminisha watu kwamba kutakuwa na ongezeko la mshahara basi atakuwa ni mpuuzi kweli kweli!!! Yeye amehudumu kwenye serikali iliyopita! Aliona lini na wapi serikali aliyokuwa anahudumu ikitangaza kupanda mshahara kwenye Sherehe za Mei Mosi!!!
Nadhani hujafuatilia vizuri Mambo ya SA...hujui makubaliano yalikuwa ya aina gani kwa kuwapa madaraka ya walio wengi...huko SA weusi walipata Political power na siyo economic power...wazungu ni wajanja...kwa kufikia makubaliano hayo makaburu na Western powers waliepusha Mambo gani...mazungumzo Kati ya Mandela na Pik Both wakati Mandela Yuko jela mpaka Leo ni Siri wanaojua ni wazungu na hasa mataifa makubwa ya magharibi..SA ya makaburu ilikua na uchumi imara kuliko hata SA ya weusi sasa unataka kusema kwa matatizo wanayopitia weusu kule SA ya umaskini wa kutupwa warudi chini ya Apartheid policy?
Hivi nani kaukuza uchumi wa ujerumani kuliko Hitler? Hvi Uganda inaweza paa kiuchumi kma enzi za viwanda vya jinja chini ya Idd Amin? Unataka kusema Ug watamkumbuka Amin?
Ubaya wa JPM hauwezi kufutwa na madhaifu ya Samia..... Mumkumbuke au lah he's dead mwili ushaoza yupo kuzimu huko. So haitosaidia kitu zaidi ya kuharakisha anguko la CCM
Hapo sijaona kosa lolote ulilolionyeshaMapema Sana wakati anaapisha wateule wake wa Mwanzo Rais Samia alisema kuna tatizo kubwa la Coordinations serikalini...
Leo nimeona hili tatizo kati yake Rais na waziri wake Jennista Mhagama...
Na lack of coordination Kwa ujumla kutoka IKulu kwenda chini Kwa watu Wengine ..
Kama Samia alikuwa anajua haiwezekani kupandisha mishahara leo alipaswa kuwaweka wasaidizi wake mapema ili waweze 'kuwaandaa watu kisaikolojia'mapema...
Ajabu leo wafanyakazi wameaminishwa kuna 'tamko'linakuja na hata waziri Jenista Mhagama alishadadia kabisa kuwa Leo kuna 'tamko'..
Hotuba za vyama vya wafanyakazi naamini IKulu ilizipata mapema na hata arrangements za leo walishirikiana kati ya serikali na Viongozi wa wafanyakazi..
Serikali ingeweza kabisa kuwaeleza mapema kuwa mishahara mwaka huu ni ngumu lakini mwakani itawezekana..
Hii ingepunguza 'expectation kubwa 'iliyokuwepo leo..na hali ya 'dissapointment' baada ya hotuba...
Nimejiuliza je Jesnista Mhagama alikuwa hajui Rais hatapandisha mishahara leo?
Viongozi wa vyama vya wafanyakazi?..
Serikali ina vyombo vyake vya Ku leak taarifa kusudi..ili kupima upepo au kuwaandaa watu kisaikolojia...Leo mbona
Imekuwa tofauti?
Kama vile aliekuwa anajua kuwa mishahara haipandi Leo ni Samia peke yake...wakati kila mtu akiwemo waziri Jenista Mhagama walikuwa wana expect mishahara kupanda leo .tatizo lilikuwa wapi??
Samia ameanza kuwa 'anaogopwa'?
Kuna ukuta Kati yake na wasaidizi wake?
Kingine ilikuwaje Rais aseme hata yeye anakatwa kodi wakati haipo hivyo?
Mawaziri ,wabunge ,Ma Dc ma RC wameanza kukatwa kodi??..
Mbona kama Rais kaanza kuwa 'mkiwa'mapema? Kama wanaotakiwa kumsaidia hawamsaidii why asiwafukuze haraka?..
Mama apewe muda.Kwakweli baada kifo cha mwendazake ilitakiwa uchaguzi ufanyike tupate kiongozi mpya hii hali ya leo imesikitisha sana
Hotuba ya My. Rais siyo public document. Ni siri. Na Rais wetu Samia ni mtu mzuri sana kuhakikisha hakuna siri Inatoka. Pili kwa muda wake mfupi na changamoto zilizopo si rahisi kupandisha mshahara. Kwanza ngoja apandishe vyeo/madarasa maana madarasa mapya pia nayo ni ongezeko la mshahara. Hivyo pia fungu la kuwapandishia mshahara litengwe. Inaonekana halikutengwa maana budget huwa inaandaliwa mapema.
Kwa msingi hiyo tumpe muda. Mwakani akikausha tena ndipo lawana kalikali zimuandame.
Kwa leo yapo machache amefanya ambayo itakuwa ni ahueni kidogo kwa mtumishi wa umma.
Shauri yakoBinafsi sina matarajio makubwa na huyu Rais.
Japo sipo kutetwa legacy ya mtu Kuna vitu nimeviona na inabidi v ifanyiwe kazi Kama sisi Kama taifa tunataka kueonga mbeleNadhani hujafuatilia vizuri Mambo ya upSA...hujui makubaliano yalikuwa ya aina gani kwa kuwapa madaraka ya walio wengi...huko SA weusi walipata Political power na siyo economic power...wazungu ni wajanja...kwa kufikia makubaliano hayo makaburu na Western powers waliepusha Mambo gani...mazungumzo Kati ya Mandela na Pik Both wakati Mandela Yuko jela mpaka Leo ni Siri wanaojua ni wazungu na hasa mataifa makubwa ya magharibi..
On Magufuli, nyie watu mnapata taabu Sana na legacy yake ambayo haiwezi kufutika katika nchi Kama ilivyo legacy ya Nyerere...we had a president ambaye alikuwa mchapa kazi na anayeweza kufanya kazi kwa faida ya nchi...Few waliumia it is true..ni hao wanaopiga kelele na kufurahia kifo chake...
Nchi Hii haiwezi kuongozwa na mtu legelege na anayeweza kuwatumikia matajiri na mabeberu na siyo wanachi walio wengi...JPM was tough na nchi Hii inahitaji a tough leader...Hakuna nchi yoyote iliyoweza kusonga mbele kwa kupiga Domo la kinachoitwa demokrasia...in fact democracy is the worst form of government...
In USA millions died on the road to democracy..it is also the same to UK, Germany, Russia etc..
TZ mnapiga kelele Sana for nothing..kazi yetu ni kulalamika na kushutumu hiki na kile..sisi ni wajuaji kupitiliza, wapuuzi, wajinga na wapumbavu pia..we don't know what is good for us...sisi ni wavivu na wapenda vya dezo...maendeleo hayaji kwa kupiga Domo bali kwa kufanya kazi na kutekeleza wajibu kwa Kila mmoja...kwa kifo Cha TZ tumempoteza a true leader, a patriot, a true African....May God rest his soul in peace...
Usiwe mjinga kiasi hicho. Dicteta aliwapumbaza kwa Ujinga wenu akiwahadaa kuwa uchumi umekua na anatumia Pesa za ndani kujenga miradi wakati linakopa kwa wazungu.Mfano wako ni mzuri hao wote waliacha nchi imekufa kiuchumi huku wao wakisifika!!!
Amepatikana kWa njia ya katiba. Tutarajie chochoteMapema Sana wakati anaapisha wateule wake wa Mwanzo Rais Samia alisema kuna tatizo kubwa la Coordinations serikalini...
Leo nimeona hili tatizo kati yake Rais na waziri wake Jennista Mhagama...
Na lack of coordination Kwa ujumla kutoka IKulu kwenda chini Kwa watu Wengine ..
Kama Samia alikuwa anajua haiwezekani kupandisha mishahara leo alipaswa kuwaweka wasaidizi wake mapema ili waweze 'kuwaandaa watu kisaikolojia'mapema...
Ajabu leo wafanyakazi wameaminishwa kuna 'tamko'linakuja na hata waziri Jenista Mhagama alishadadia kabisa kuwa Leo kuna 'tamko'..
Hotuba za vyama vya wafanyakazi naamini IKulu ilizipata mapema na hata arrangements za leo walishirikiana kati ya serikali na Viongozi wa wafanyakazi..
Serikali ingeweza kabisa kuwaeleza mapema kuwa mishahara mwaka huu ni ngumu lakini mwakani itawezekana..
Hii ingepunguza 'expectation kubwa 'iliyokuwepo leo..na hali ya 'dissapointment' baada ya hotuba...
Nimejiuliza je Jesnista Mhagama alikuwa hajui Rais hatapandisha mishahara leo?
Viongozi wa vyama vya wafanyakazi?..
Serikali ina vyombo vyake vya Ku leak taarifa kusudi..ili kupima upepo au kuwaandaa watu kisaikolojia...Leo mbona
Imekuwa tofauti?
Kama vile aliekuwa anajua kuwa mishahara haipandi Leo ni Samia peke yake...wakati kila mtu akiwemo waziri Jenista Mhagama walikuwa wana expect mishahara kupanda leo .tatizo lilikuwa wapi??
Samia ameanza kuwa 'anaogopwa'?
Kuna ukuta Kati yake na wasaidizi wake?
Kingine ilikuwaje Rais aseme hata yeye anakatwa kodi wakati haipo hivyo?
Mawaziri ,wabunge ,Ma Dc ma RC wameanza kukatwa kodi??..
Mbona kama Rais kaanza kuwa 'mkiwa'mapema? Kama wanaotakiwa kumsaidia hawamsaidii why asiwafukuze haraka?..
kwa JICHO la 3Hivi wizara ya Kazi ajira na vijana ina manaibu wangapi?
Hii wizara iangaliwe kwa Jicho la 3