Mei Mosi 2021: Makosa niliyoyaona kwenye Hotuba ya rais Samia na wasaidizi wake

Ila mwenda zake alitupeleka chaka lenye miiba,alibaka sheria ya annual increament na sasa wanaofuata wanaona ni sawa tu,haya tunayoyaona yaliachwa na yeye.
 


Kila mtu na muhogo wake...

"Jenerali Ulimwengu"
 
Uko sahihi kabisa, hata Waziri Mkuu naye nilimsikia akisema kuwa tamko linakuja.

Ni ukweli usiopingika kuwa hii Serikali ya SSH haina "coordination".
By the way, I think this Mother is going to fail considerably in her leadership as a president.
 

Actually iko hivi...
Kutoka Kwa Ben hadi JK walipunguza kabisa
Centralized government...
Wafanyakazi wachache hasa walimu
Na serikali kuu ndo walikuwa wanapata nyongeza ya kila mwaka kuanzia July..

Wakati Wengine hasa wa mashirika waliweka
Utaratibu wao.. mostly ilikuwa kila January..

Magufuli akaja kubadili nowadays watumishi wa mashirika hawana tofauti na walimu.
Mfano shirika kama NHIF wanapeleka makusanyo yote serikalini na wakipanga bajeti yeyote hata ya kuongeza Tu allowances
Inabidi waombe kibali na waombe hiyo bajeti serikali kuuu.... Shida imeanzia hapa...

Mfano we ni mstaafu wa NHIF baada ya miaka miwili kuanzia sasa bado na wewe unasubiri serikali kuu iweze kua approve increment zako zote za miaka 6 iliyopita ili uweze kustaafu ..ingawa NHIf wala haina shida ya pesa kukurekebishia... Magufuli alitoa hizo power Kwa taaasisi na mashirika ya serikali kujiendesha...so hata mfanyakazi wa TRA .
Na yeye Jana alikuwa anasubiria 'tamko'..

Kikwete aliweka utaratibu wa nyongeza za kimya kimya bila matamko...unless shirika au taasisi inaitegemea serikali 100 Percent..

Siku hizi kila shirika au taasisi kila kitu hadi
Wapewe go ahead..

Now Samia nna uhakika hata hajui how deep
Hii kitu ilivyo...
Kama ni hali ya uchumi why isingetoka go ahead Kwa taasisi na mashirika ambayo yako healthy kurekebisha hata hizo increment kwanza?..

Samia naamini Jana alizungumzia zaidi serikali kuu...
 
Heri hata nyie wafanyakazi mmepakwa mafuta kwa mgongo wa chupa.
 
Kuna msemo wanasema

"Masikini hampendi mwana"
Nimefikiria mpaka sasa sijajua maana yake

Wataalam embu nisaidieni hapa
Aibu iliyoje! Mtoa msemo katoa na maana yake. Zwazwa aina yako hujibu kuwa anafikiri mbili mara mbili ni nne. Anafikiri nini?
 
Yaani hata mie nilishangaa wafanyakazi mpaka,wakawa wameshatayarisha mabango kwa kujiamini na kauli mbiu eti' Mishahara juu...
Hiiiiiii.. kazi iendelee.
 
Nadhani hujafuatilia vizuri Mambo ya SA...hujui makubaliano yalikuwa ya aina gani kwa kuwapa madaraka ya walio wengi...huko SA weusi walipata Political power na siyo economic power...wazungu ni wajanja...kwa kufikia makubaliano hayo makaburu na Western powers waliepusha Mambo gani...mazungumzo Kati ya Mandela na Pik Both wakati Mandela Yuko jela mpaka Leo ni Siri wanaojua ni wazungu na hasa mataifa makubwa ya magharibi..

On Magufuli, nyie watu mnapata taabu Sana na legacy yake ambayo haiwezi kufutika katika nchi Kama ilivyo legacy ya Nyerere...we had a president ambaye alikuwa mchapa kazi na anayeweza kufanya kazi kwa faida ya nchi...Few waliumia it is true..ni hao wanaopiga kelele na kufurahia kifo chake...
Nchi Hii haiwezi kuongozwa na mtu legelege na anayeweza kuwatumikia matajiri na mabeberu na siyo wanachi walio wengi...JPM was tough na nchi Hii inahitaji a tough leader...Hakuna nchi yoyote iliyoweza kusonga mbele kwa kupiga Domo la kinachoitwa demokrasia...in fact democracy is the worst form of government...
In USA millions died on the road to democracy..it is also the same to UK, Germany, Russia etc..
TZ mnapiga kelele Sana for nothing..kazi yetu ni kulalamika na kushutumu hiki na kile..sisi ni wajuaji kupitiliza, wapuuzi, wajinga na wapumbavu pia..we don't know what is good for us...sisi ni wavivu na wapenda vya dezo...maendeleo hayaji kwa kupiga Domo bali kwa kufanya kazi na kutekeleza wajibu kwa Kila mmoja...kwa kifo ChaJPM, TZ tumempoteza a true leader, a patriot, a true African....May God rest his soul in peace...
 
Hapo sijaona kosa lolote ulilolionyesha

Mimi kosa naliona kwa viongozi wa vyama vya wafanyakazi

Kwanini wasubiri matamko ya nyongeza wakati wa mei mosi!? Kwani plan ya bajeti ya mwaka husika wa fedha inaandaliwa siku ya mei mosi!?

Nyongeza ya mishahara ni suala la kibajeti. Rais hawezi kuropoka tu kwamba anapandisha mishahara Kama kwenye bajeti haimo

Sasa hivi tupo kwenye bunge la bajeti. Wangetaka taarifa wangechungulia huko kwanza waone kilichomo kwenye bajeti kuu ya serikali kabla ya kuandaa hutuba zao na mabango yao.

Kwasababu hii ni agenda ya vyama vya wafanyakazi ya miaka mingi, ilikuwa jukumu lao kutafuta taarifa hizo kupitia vyanzo wanavyojua wao kuchungulia kwenye bajeti ya serikali wajue Kama agenda yao imo au haimo halafu hutuba yao iwe ya kumuuliza Rais kwanini hajaongeza badala ya kuwa hutuba ya kuomba tamko.

Viongozi wangefanya kazi yao vizuri, mabango yangesheheni jumbe za madai na maswali kuliko yalivyokuwa.

Ifikie hatua watu wanaenda mei mosi wakiwa na "conditions" kwa mamlaka sio kwenda kusubiri matamko

Kwa mfano tuwe na mabango yanayosomeka :-

"bila nyongeza ya mishahara hakuna ufanisi kazini",.

"Nyongeza ya mishahara ni haki ya kisheria kwa wafanyakazi, viongozi tendeni haki wafanyakazi tutekeleze wajibu"

"Kazi haiwezi kuendelea Kama maslahi kwa wafanyakazi ni duni"

"Malimbikizo ya madeni ni sumu ya morali kwa wafanyakazi"

Tatizo vyama vya wafanyakazi vimejaa viongozi waoga na waliowekwa na mkono wa serikali.

Haki haidaiwi kinyonge. Haki hudaiwa kwa ujasiri

Tutaishi kwa kusubiri matamko hadi lini!? Ifikie mahali hawa kina Nyamuhuko wapishe damu changa zenye ubunifu
 
Tatizo watu mlikuwa mna yenu mliyotaka kuyasikia kwa mama, kuondolewa 6% ya heslb, PAYE kupunguzwa kwa 1% hilo si neno? Acheni ujinga wenu Rais hawez kumridhisha kila mtu ila angalau ameleta mwanga kuliko marehemu JIWE.

hiyo 6% isikie tu kwa jirani kama ingeendelea hivyo ungekukuta unastaafu utumishi wa umma na deni la heslb unalo
 

Mkuu Umeongea Point kubwa mnooo
Natamani kila anaempinga wewe usihangaike mtupie tuu hii quote then kaa kimya ahangaike nayo[emoji115][emoji1666][emoji1666][emoji110][emoji851]
 
Japo sipo kutetwa legacy ya mtu Kuna vitu nimeviona na inabidi v ifanyiwe kazi Kama sisi Kama taifa tunataka kueonga mbele

1. Tuendelee na uwekezaji katika uzalishaji. Tofauti ya hotba ufunguzi wa bunge 2020 na juzi 2021 iko clear kwamba mwelekeo Sasa unageuka kutoka serekali ya uwekezaji kwenda serekali ya MATUMIZI...sikusikia Tena Ile upanuzi wa.maloshio kwa hekta milioni 6...,.sikusikia Tena kuongeza maeneo ya umwagiliahi kutokaneka 500.000 za Sasa Hadi eka 1.200.000 mwaka 2025. Sikusikia.tena ile story ya kufungua machinjio 7 kubwa za kisasa za nyama na sikusikia habari ya dege la mizigo kupeleka mazao nje....


In fact watu wengi walioamini katika kazi na kujipanga teyari walishachukuwa positions zao. Hukunkwe5u tuliaminishana tunaweza Sasa kukuzanufugaji wa sungura for export.....

Kuna watu walihamia.maporini kuanzisha maranch....

Naona wote Sasa wamerudi mjini wanashinda kwenye bar...yaani bar zinajaa wamejipanga kuanza kulamoesa ya wafadhili

Nilisikia tu habari ya kugawa maji kila.sehemu.....hapo ndio.mzungu anatushika...anachukuwa dhahabu anagawa maji.....

Kazi i3ndelee
 
Mfano wako ni mzuri hao wote waliacha nchi imekufa kiuchumi huku wao wakisifika!!!
Usiwe mjinga kiasi hicho. Dicteta aliwapumbaza kwa Ujinga wenu akiwahadaa kuwa uchumi umekua na anatumia Pesa za ndani kujenga miradi wakati linakopa kwa wazungu.
Hotuba ya Mh Samia imesema uchumi umeshuka wew Kibwetele uwe makini usikurupuke tuu kuandika.

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
Hivi wizara ya Kazi ajira na vijana ina manaibu wangapi?
Hii wizara iangaliwe kwa Jicho la 3
 
Amepatikana kWa njia ya katiba. Tutarajie chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…