Xhizo de incredible
Member
- Nov 14, 2018
- 74
- 123
Sisi huku hakuna mabadiliko , kiwango chetu cha utendaji kazi ni kilekile miaka yote hata itokee mtu alipwe mshahara mdogo au aongezwe mshahara kwa 100%.Huku Kenya watumishi wa umma wamejiapiza watafanya kazi chini ya kiwango kwa kadri iwezekanavyo. Majirani hali ikoje huko kwenu?
😂😂Leo tumeiona tofauti ya wafiakazi na wafanyakazi, in betting we call it both team to score
Ujambazi hufanyika pale wanaofanyiwa ujambazi wanapokuwa waoga na wanaogopa kujilinda. Hebu wafanyakazi wote raia wote wenye kukwazwa na uongozi hafifu wa sasa wajitokeze kwenye maandamano siku moja msipoona wiki itakayofuta vikokotoo vikaondolewa na zile kanuni za zamani zikarudi. Hili la kikokotoo litafanyiwa mazingaombwe tu na msidhani litakuja kurekebishwa kama wafanyakzi wanavyotaka bila kukiwasha.Kikokotoo ni ujambazi wa serikali dhidi ya wananchi wake.
Ila inawezekana wengine ni wakongo tena wa Goma🤪Tunawapongeza sana wadudu Kwa kukinukisha, Na pia tunawapongeza sana mtakaopatiwa 50k nauli ya kila mwezi.
Yote katika yote sisi wote ni watanzania.
Aman iwe pamoja nasi...
😂😂😂😂Hakika kati ya KUNDI linalotakuwa kuambiwa HEPI MEI MOSI 2024 basi ni MATICHA wetu na sababu za kuwapa HEPI MEI MOSI zinajulikana
CCM oyeee