Mei Mosi: Dkt. Mpango asema Serikali imepokea hoja ya kuboresha kikokotoo kwakuwa wafanyakazi hawaridhishwi na kanuni zake

Mei Mosi: Dkt. Mpango asema Serikali imepokea hoja ya kuboresha kikokotoo kwakuwa wafanyakazi hawaridhishwi na kanuni zake

Just in case tatizo Tz ma leader wanaziona kero kabisa Ila wanafanya Kama vile hazipo mpaka tusubirie MERCY kutoka kwao
 
Huku Kenya watumishi wa umma wamejiapiza watafanya kazi chini ya kiwango kwa kadri iwezekanavyo. Majirani hali ikoje huko kwenu?
Sisi huku hakuna mabadiliko , kiwango chetu cha utendaji kazi ni kilekile miaka yote hata itokee mtu alipwe mshahara mdogo au aongezwe mshahara kwa 100%.

Everything remains constant
 
Majibu hayo ndio pasi ndefu mpaka mwakani , endeleeni kuchangia vyama vya wafanyakzi wanalipana posho tu nyie maoni yenu yafike au yasifike hawana hasara.
 
Leo tumeiona tofauti ya wafiakazi na wafanyakazi, in betting we call it both team to score
 
Kikokotoo ni ujambazi wa serikali dhidi ya wananchi wake.
Ujambazi hufanyika pale wanaofanyiwa ujambazi wanapokuwa waoga na wanaogopa kujilinda. Hebu wafanyakazi wote raia wote wenye kukwazwa na uongozi hafifu wa sasa wajitokeze kwenye maandamano siku moja msipoona wiki itakayofuta vikokotoo vikaondolewa na zile kanuni za zamani zikarudi. Hili la kikokotoo litafanyiwa mazingaombwe tu na msidhani litakuja kurekebishwa kama wafanyakzi wanavyotaka bila kukiwasha.
 
Wakuu matokeo ndo kamanavyoona ubaoni, nawakumbusha tu Wafanyakazi walikua uwanja wa Nyumbani leo.
FT: Wafanyakazi 0:7 Wadudu
"This life is hard and is not for the weak"
 
..................................
Screenshot_20240413-130748.png
 
Tunawapongeza sana wadudu Kwa kukinukisha, Na pia tunawapongeza sana mtakaopatiwa 50k nauli ya kila mwezi.

Yote katika yote sisi wote ni watanzania.
Aman iwe pamoja nasi...
Ila inawezekana wengine ni wakongo tena wa Goma🤪
 
Hakika kati ya KUNDI linalotakuwa kuambiwa HEPI MEI MOSI 2024 basi ni MATICHA wetu na sababu za kuwapa HEPI MEI MOSI zinajulikana
CCM oyeee
 
Wameshindwa kuboresha usafiri wa mwendo Kasi kati ya kivuko hadi kimara na mbezi kwa miaka 4 aliyokaa,, hawezi vitu vingine vikibwa
 
Amekusikiaa mkuu.

Subiri jibu Kwa vitendo
 
Back
Top Bottom