Mei Mosi Mwanza: Rais Samia ahutubia, aahidi kuongeza mishahara kuanzia mwakani, agusia mafao ya wastaafu

anawshukuru TUCTA kwa imani iliyooneshwa kwake
 
punguzo la asilimia 1% kutoka 9% kwenye PAYE
 
[emoji23][emoji23]Kama ulivyo kilema wa biashara zako,maana najua unapigana kutwa ili upate kipato kikubwa Zaid ya Jana ,Sasa Kuna ubaya gan watumishi nao wakatunisha account zao ? Maana nao ndio biashara yao Kama ilivyo biashara yako inayokupa kipato ,yaan unataka watumish waendelee kuwa pale pale miaka nenda rud?
Achen roho za kwann ,gharama zitapanda zitapanda ,kwan saiz gharama hazijapanda? Kikwete aliongeza salary vipi gharama zilikuwa wapi?
Kipind cha jk mafuta ya kula ilikuwa Bei gan na Sasa ni Bei gan ambapo mshahara haujapanda? Je sukar nayo tuiweke wap hiki kipind cha jpm chote?
Kaa kwa kutulia mdau salary kuongezwa sio hisan ni haki
 
makato ya bodi hapo mbona sijaelewa
 
Mama Samia ; sekta binafsi miaka 8 hawajapandishiwa mshahara, hapa nadhani mama kateleza,sekta binafsi gani hiyo miaka 8 hawajapandishiwa mishahara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…