Mei Mosi Mwanza: Rais Samia ahutubia, aahidi kuongeza mishahara kuanzia mwakani, agusia mafao ya wastaafu

Mei Mosi Mwanza: Rais Samia ahutubia, aahidi kuongeza mishahara kuanzia mwakani, agusia mafao ya wastaafu

anawshukuru TUCTA kwa imani iliyooneshwa kwake
 
punguzo la asilimia 1% kutoka 9% kwenye PAYE
 
Kwahiyo umeajiriwa ili uongezewe mshahara tu bila tija yeyote??

Mnavyofisadi mashirika yetu namna hii halafu mnataka tuwaongezee mishahara ndio mnazidi kutupa hasira.

Hivi hujui kwamba kila unapoongeza mishahara unasababisha gharama za maisha nazo kupanda??

Kwahiyo kwa ubinafsi wako unaona ni sawa watu wachache kuwaumiza wengi kila mara??

Hilo ongezeko litazidi basi hata laki??

Ila unajua naumivu yake huku mtaani??

Sidhani kama unafikiri sawasawa, maana inavyoonekana umeshakua kilema wa mshahara.
[emoji23][emoji23]Kama ulivyo kilema wa biashara zako,maana najua unapigana kutwa ili upate kipato kikubwa Zaid ya Jana ,Sasa Kuna ubaya gan watumishi nao wakatunisha account zao ? Maana nao ndio biashara yao Kama ilivyo biashara yako inayokupa kipato ,yaan unataka watumish waendelee kuwa pale pale miaka nenda rud?
Achen roho za kwann ,gharama zitapanda zitapanda ,kwan saiz gharama hazijapanda? Kikwete aliongeza salary vipi gharama zilikuwa wapi?
Kipind cha jk mafuta ya kula ilikuwa Bei gan na Sasa ni Bei gan ambapo mshahara haujapanda? Je sukar nayo tuiweke wap hiki kipind cha jpm chote?
Kaa kwa kutulia mdau salary kuongezwa sio hisan ni haki
 
makato ya bodi hapo mbona sijaelewa
 
Mama Samia ; sekta binafsi miaka 8 hawajapandishiwa mshahara, hapa nadhani mama kateleza,sekta binafsi gani hiyo miaka 8 hawajapandishiwa mishahara
 
Back
Top Bottom