Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Mkuu tupe neno LA hekima ilikuwaje akatundika daluga huko Serikalinijitoe,na badaye ulijishughulisha na nini ama ilikuwaje??Watu wanawaza samia akiongeza mshahara ndo atakuwa mtu mwema zaidi ya jpm?
Hivi nyie akili yenu ipo wapi? Mm wakati nikiwa mtumishi wa serikali nakumbuka nyongeza ilikuwa hela ndogo sana. Na maisha yana baki pale pale....
Hataki mabango mengine!Mbona wote wameandika ujumbe unaofanana?
Hivi kumbe saiv siasa ziko kikanda? Sikujua!uyu mama siasa za kanda ya ziwa asipokuwa makini nazo, majibu atayapata muda sio mrefu
Si ndio kauli mbiu ya siku??Mbona wote wameandika ujumbe unaofanana?
aliekwambia kuwa mafisadi walikimbia nchi ni nani?Jiwe ndio kiboko ya kila mpuuzi nchi hii.
Enzi hizo mwanaume akiongea kauli ni moja tu na mnaufyata.
Sasa hivi mnaleta unafki wa kupiga kelele mngeongea mbele ya kidume tuone kama mnayaweza.
Mafisadi na vibaraka walikimbia nchi.
Wafanyakazi wazembe na wezi waliichukia serikali maana waliishi kwa halali yao ya mshahara na posho wanayostahili.
Kile kidume ni noma ndio maana wabaya wake bado wanateswa na jinamizi lake wakilala jiwe wakiamka jiwe.
Wananchi wa kawaida wanalia sana kupoteza lile dume la mbegu sababu alisimama nao pamoja na unyonge wao. Aliwapa uhuru wa kweli mwenye biashara alifanya na hakusumbuliwa, aliwapelekea umeme, zahanati, maji na barabara nzuri alihakikisha kinachopatikana kinaenda kuwafaidisha watanzania walio wengi haswa maskini pangu pakavu na ndio maana watampenda daima.
Maofisini huko alipanyoosha at least mwananchi mnyonge alisikilizwa na mtumishi wa serikali tena bila connection wala kutoa rushwa tofauti na tawala zingine.
RIP Chuma aka Jiwe.
Wewe utakuwa unakaa kwa shemeji yako tuJiwe ndio kiboko ya kila mpuuzi nchi hii.

Pamoja na ZSSF wakatili Sana Hawa wanasiasa.NSSF Fao la Kujitoa ..huu ni Ukatili ....Mungu anawaona
Leo Tusikie...
umeandika as if hizi ajirs ni dhambi.Kuna watu ni wabinafsi sana yaani wao tu ndio waongezewe mishahara watu hawafiki hata milioni 3 halafu the rest 50 milion waumie kwa gharama za maisha kupanda.
Mambo ya ajabu sana hayo. Kelele mingi tija hakuna.
Hahahaaah kanichekesha sana, kaanza kutoa hotuba..Haaa huyu ni mhindu bhana
Asante Mkuu"karma is bitch' kuweka mambo vizuri tu mkuu!
HakuelewekaHahahaaah kanichekesha sana, kaanza kutoa hotuba..
Sio kweli,awamu ya Kayafa UNAFIKI ulikuwa mwingi,wafanyakazi wengi ndio waliiba fedha nyingi mno kwakuwa ubanaji mkubwa wa fedha ulitawala,so mwanya ukipatikana watu wanapiga.TAKWIMU nyingi zilizopatiwa serikalin zilikuwa za uwongo na uo ndio ukweli(nakupa takwimu bora liende yan mbelembele yao)Jiwe ndio kiboko ya kila mpuuzi nchi hii.
Enzi hizo mwanaume akiongea kauli ni moja tu na mnaufyata.
Sasa hivi mnaleta unafki wa kupiga kelele mngeongea mbele ya kidume tuone kama mnayaweza.
Mafisadi na vibaraka walikimbia nchi.
Wafanyakazi wazembe na wezi waliichukia serikali maana waliishi kwa halali yao ya mshahara na posho wanayostahili.
Kile kidume ni noma ndio maana wabaya wake bado wanateswa na jinamizi lake wakilala jiwe wakiamka jiwe.
Wananchi wa kawaida wanalia sana kupoteza lile dume la mbegu sababu alisimama nao pamoja na unyonge wao. Aliwapa uhuru wa kweli mwenye biashara alifanya na hakusumbuliwa, aliwapelekea umeme, zahanati, maji na barabara nzuri alihakikisha kinachopatikana kinaenda kuwafaidisha watanzania walio wengi haswa maskini pangu pakavu na ndio maana watampenda daima.
Maofisini huko alipanyoosha at least mwananchi mnyonge alisikilizwa na mtumishi wa serikali tena bila connection wala kutoa rushwa tofauti na tawala zingine.
RIP Chuma aka Jiwe.
Kama huelewi kiswahili ngoja nitapost kwa kisukuma ili uelewe kwa lugha ya kabila lakomwezi mmoja umeshajua uchumi umekua sana tofauti na miaka 5 iliyopita[emoji16][emoji16][emoji16].
mnaongozwa na hisia sio utashì tena.