Mei Mosi Mwanza: Rais Samia ahutubia, aahidi kuongeza mishahara kuanzia mwakani, agusia mafao ya wastaafu

Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Madame Samia Suluhu Hassan
Ameondoka Asubuhi Dodoma ~ Mwanza
Jioni Atakuwa Dodoma

Wote Macho [emoji849][emoji849][emoji849]Kwa Mama
Kashaanza Kuyeye Mawingu Nje Ya Nchi
 
Si ndo huyo nyuma ya Magu?

 
Corona inatisha
 
Hili linaibu Katibu mkuu TUCTA halina mvuto wala ushawishi![emoji2]
 
Reactions: Lee
Wafanyakazi wameshindwa kuungana, sab wanavyama vingi na vyote vinaviongoz wao na wanawaka wafanyakazi mishahara kila mwez mfano CWT, kwanini wasiwe na chama kimoja tu af wapungize makato ya mishahara na cha ajabu, makato huongezeka kwa ongezeko la mshahara, so ningefurah kusikia kua wanasema wameamua kuungana na kua kitukimoja, kupunguza makato kwa mishahara ktk chama cha wafanyakazi, na kutoa tamko kua hawataongeza makato ktk chama cha wafanyakazi hata baada ya kuingezeka kwa mshahara. Vinginevyo! HAWANA JIPYA, nakama hawataki kua na chama kimoja sab watakosa pa kupiga hela kwan nia yao sikudaidia wafanyakazi bali ni kujisaidia wao na matumbo yao! Bas WATOE UHURU WA KILA MFANYAKAZ KUJIUNGA NA KUJITOA KTK CHAMA CHA WAFANYAKAZI.
 
Hizi mei mosi yanazungumzwa mambo yale yale mara zote,,

Vitendo viwe zaidi ya maneno
 
Huyu msoma lisala wa tucta wamemuokota wapi?
 
Undertaker kamwachia SASHA, wacha tuosome mchezo [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…