Meja Jenerali Ameir Hassan, Mkuu wa Kamandi ya Maji (Navy), Je naye ni Komando?

Meja Jenerali Ameir Hassan, Mkuu wa Kamandi ya Maji (Navy), Je naye ni Komando?

Komando anayeweza kufanya majukumu kwenye maji na nchi kavu ndio marine special force wa mwanzoni kwa hapa TZ
Yaan Komandoo wa Maji? Ashawahi kutupa show zake pale kwa Nkapa hata mara moja tuone jinsi Pesa zetu za kodi zinavyofanya kazi?
 
Hamjui hata maana ya komando,ofisa mkubwa kama huyo hawezi kuwa komando shughuli za kikomando ni za Askari wa chini
 
Mpaka kafika hapo basi ametoka mbali sana na mazoezi anayo ila kwa sasa hawezi tena ni mtu mwenye cheo kikubwa sana hapo

Hata duniani ukingalia wenye vyeo sio maana wanakimbia na kufanya mazoezi magumu hapana.
Hapo uko kwenye raha tu
Sio kweli.
Kaangalie makamanda wa IDF, Lt Gen Halevi, Maj Gen Orin Gordin nothern command incharge kiboko ya Hizbullah, southern command incharge Maj Gen Yaron Finkelman kiboko ya Hamas, Chief of staffs Maj Gen Amir Baram
 
Unahukumu kwa miili yao au
Ungesema Putin sawa maana anapiga mpaka mazoezi na unamuona
Haya mkuu asante
 
Commando gani ana mkitambi kama furushi la viazi kutoka tukuyu?
 
Back
Top Bottom