John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Halafa machawa wa UVCCM walimkula huyu mzee milioni kama 500 hivi ili mtoto wake ashinde kura za maini kupitia UVCCM matokeo bint yake akaambulia kupata kura moja, mzee alipoata matokeo aliwatolea bastora wale vijana, almanusura awamwage ubongo
Very sad.Sasa hawa wapigaji waliotaka kununua chaguzi ndo wanasifiwa kulinda nchi, wakati wao ndo wanaitafuna nchi na kulinda uozo?
Sasa mwanajeshi mwizi aliyetumia hela nyingi hivyo kwenye siasa watu wakimchukia utawashangaa?Very sad.
Chuki ni kubwa sana katika jamii kutokana na siasa chafu za hapa nyumbani zilizoasisiwa na CCM.
Watanzania wapo gizani kwenye mambo mengi sana kama siyo yote.Sasa hawa wapigaji ndo wanasifiwa kulinda nchi, wakati wao ndo wanaitafuna nchi?
Most of the officials of the government in this country are crooks.Watanzania wapo gizani kwenye mambo mengi sana kama siyo yote.
Kuna mtu tume ya maadili ilijaribu kuibua madudu yake lakini hakuna hatua inayochukuliwa. Chura wake kazina masikio.
Leo hii kuna mtu huyohuyo huko Arusha anatumia nafasi yake katika ofisi ya umma kunadi brands za kampuni fulani ya Magari, nchi nzima imesimama inakenua. Huenda jamaa ameshavuta mabilioni ya kutosha ili tu kufanya branding
Aliye sema anaushahidi wa huo upigaji? au ndiyo tuseme kuwa, tusi halitumwi, shida iko kwako wewe unaye pokea kitu bila tafakari ya athari za kuweka kitu katika jamii bila due diligence??Sasa hawa wapigaji waliotaka kununua chaguzi ndo wanasifiwa kulinda nchi, wakati wao ndo wanaitafuna nchi na kulinda uozo?
Mapema kufanyaje mkuuMbona mapema sana
Wewe kwanza hujui tofauti ya "heshimuni" na "eshimuni".Aliye sema anaushahidi wa huo upigaji? au ndiyo tuseme kuwa, tusi halitumwi, shida iko kwako wewe unaye pokea kitu bila tafakari ya athari za kuweka kitu katika jamii bila due diligence??
Weka ushahidi wa huo upigaji!
Eshimuni kazi za watu, wanajitolea usiku na mchana kwa ajili ya ustawi wa Nchi, leo mnakuja na dhihaka!?
By the way ,you all hamna mnachofahamu kuhusu Jeshi, mnanipotezea muda.
Rwanda pale ilipo ina four star Generals wanne na iko nchi eneo dogo. Tanzania tuna four star General mmoja, Lt. Gen. mmoja, Major Gen. na Brig. Gen. wachache. Huo wingi unaulinganisha na nchi gani maskini kama sisi, au ulitaka wawe wangapi ndio wasiwe wengi?Ma Jenerali wengi bila vita ni u jenerali wa mchezo tu. Nchi yenyewe uchumi mdogo, ma jenerali wengi wa nini?
China haiweki wazi military spending yake, nayo ina Majenerali wachache?Unatetea vipi wingi wa Ma Jenerali katika nchi masikini ambayo hata haiweki wazi military spending yake?
Deterrence kwa yeyote anayetaka kujaribu kuvuruga amani. Kwa kuwa humjui haimaanishi hayupo, na kwa kuwa humjui hiyo ni mojawapo ya mafanikio ya jeshi nchi kutokuwa na adui. Au wewe ndio nyinyi mnaolipa bima ya afya alafu mnatamani kuumwa magonjwa makubwa ili malipo yenu ya bima yasiende bure.Deterrence una m deter nani (nation state) anataka kupigana vita na Tanzania sasa?
Sio kazi ya JWTZ kudhibiti waajiriwa serikalini. Kuna mamlaka za uhamiaji na mamlaka za ajira. Soma majukumu ya JWTZ uelewe.Mkuu wa majeshi kalalamika watu wasio Watanzania wameshika nafasi nyeti serikalini, maana yake wanausalama na wanajeshi wameshindwa kulinda nafasi za serikalini zisishikwe na watu wasioeleweka, let alone ku deter vita.
Kwa sababu jeshi lina deter na adui hatokei, hivyo likefanikiwa. Ukiwa na headache ukatumia painkillers na ukapata nafuu, unaanzaje kusingizia kuwa kichwa kimeacha chenyewe kuumwa wakati umetumia jitihada za kukiponya.Unahakikishaje hatupigani vuta kwa sababu ya deterence na si kwa sababu hakuna anayetaka kupigana vita na sisi tu?
Wewe unaye jua Kiswahili, mbona hufahamu maana ya Jeshi na jeshi?Wewe kwanza hujui tofauti ya "heshimuni" na "eshimuni".
Hujui Kiswahili.
Kama hujui Kiswahili wewe mshamba tu.
Ndiyo maana unatetea jeshi ambalo hulijui.
Tatizo unatetea jeshi la nchi ambayo hata military spending yake hujui.Rwanda pale ilipo ina four star Generals wanne na iko nchi eneo dogo. Tanzania tuna four star General mmoja, Lt. Gen. mmoja, Major Gen. na Brig. Gen. wachache. Huo wingi unaulinganisha na nchi gani maskini kama sisi, au ulitaka wawe wangapi ndio wasiwe wengi?
China haiweki wazi military spending yake, nayo ina Majenerali wachache?
Hao majenerali wengi ni wangapi na unashauri wawe wangapi kwa vigezo vipi. Mbuge alikuwa mkuu wa JKT, JKT ni mojawapo ya kamandi 6 za jeshi. Taja nchi ambayo mojawapo ya kamandi zake kuu haiongozwi na at least Brigadier General au relevant rank.
Kwahiyo unataka Army, Naval Wing, Defence HQ, jeshi la akiba viongozwe na nani kama sio at least Brigadier General. Nchi gani hiyo Luteni anaongoza Army au Reserve?
Deterrence kwa yeyote anayetaka kujaribu kuvuruga amani. Kwa kuwa humjui haimaanishi hayupo, na kwa kuwa humjui hiyo ni mojawapo ya mafanikio ya jeshi nchi kutokuwa na adui. Au wewe ndio nyinyi mnaolipa bima ya afya alafu mnatamani kuumwa magonjwa makubwa ili malipo yenu ya bima yasiende bure.
Mojawapo ya kazi ya jeshi ni kufanya mazoezi kujipanga na vita ikitokea, sio kulazimisha vita itokee ili jeshi lionekane lipo.
Sio kazi ya JWTZ kudhibiti waajiriwa serikalini. Kuna mamlaka za uhamiaji na mamlaka za ajira. Soma majukumu ya JWTZ uelewe.
Kwa sababu jeshi lina deter na adui hatokei, hivyo likefanikiwa. Ukiwa na headache ukatumia painkillers na ukapata nafuu, unaanzaje kusingizia kuwa kichwa kimeacha chenyewe kuumwa wakati umetumia jitihada za kukiponya.
Unahakikishaje hatupigani vita kwa sababu hakuna anayetaka kupigana na sisi na si kwamba hakuna anayekuja kutuvamia sababu ya deterrence?
Wewe mshamba tu, hujui Kiswahili ndiyo maana hata huwezi kuelewa hoja zangu.Wewe unaye jua Kiswahili, mbona hufahamu maana ya Jeshi na jeshi?
Mpaka umri huo hujui maana ya makosa ya kiuandishi??
Mshamba mmoja unayejifanya kujua kila kitu! kumbe Trash tu!
Ana kama miezi miwili amestaafu kwa kukagua gwaride kwa utimamu. Apumzike kwa amaniMapema kufanyaje mkuu
Aisee kweli na niliona you tube wakati anakabidhiwa ndinga lile alifurahi sanaAna kama miezi miwili amestaafu kwa kukagua gwaride kwa utimamu. Apumzike kwa amani
I knew utakosa hoja na utaishia kudhihaki, baada ya kukosoa uandishi wangu, wakati huo huo na wewe umepuyanga big time katika uandishi wako.Wewe mshamba tu, hujui Kiswahili ndiyo maana hata huwezi kuelewa hoja zangu.
Sitashangaa ikiwa umefikishwa mjini na jeshi, kama umefika, ndiyo maana unaliabudu jeshi na wanajeshi wake.
Unatetea jeshi kwa mahaba, huwezi kuwa na hoja kwa sababu huna namba wala data, kwa sababu kila kitu kuhusu jeshi Tanzania ni siri.I knew utakosa hoja na utaishia kudhihaki, baada ya kukosoa uandishi wangu, wakati huo huo na wewe umepuyanga big time katika uandishi wako.
Nilikuambia mapema huku sio eneo lako. hujui chochote, kaa kimya wanaume tujadili.
Wafanye tafiti za kisayansi ambazo zinasaidia kwenye Ugunduzi Mpya na Uundaji wa Silaha zetu wenyewe hapa hapa Tanzania.
Waanzishe Viwanda Vipya vya Kutengeneza na Kuunda Silha za Kisasa kwa ajili ya shughuli za Ulinzi na Usalama, sambamba za Silaha na Mifumo ya Kupigania Vita.
Mathalani, wangeanzisha Kiwanda Cha Kutengeneza Ndege zisizo na Rubani (Drones).