Mel B anamtaka Eddie Murphy kuongeza pesa za malezi ya mtoto wao Angel

Mel B anamtaka Eddie Murphy kuongeza pesa za malezi ya mtoto wao Angel

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Mel B na Eddie Murphy walibahatika kupata mtoto wa kike Angel mwenye umri wa miaka 10 sasa. Miaka tisa iliyopita walifikia makubaliano Eddie awe anampa Mel B £21,000 kwa mwezi kwa malezi ya mtoto huyo. Kutokana na kushuka kwa mapato ya Mel B, ameamua kufanya majadiliano mapya ili Mr Murphy aongeze dau la kila mwezi.

====

Mel has asked the dad-of-ten to reveal all about his income in fresh paperwork, as well as pay for her legal costs.

A previous deal agreed in 2009 gave Mel sole custody after Eddie was ordered to pay £21,000 per month plus additional health insurance and education costs.

In new court documents, the star claims she has made “numerous efforts to resolve this case without court intervention without any success,” and has now asked for a hearing in January.

Her lawyers explained: “Eddie and Melanie have both established careers in the entertainment industry. Unfortunately, Melanie’s income has dramatically reduced, such that she must consider modifying child support for the first time.” Accounting figures previously showed the band members made around £3.2million each from last year’s bumper run of stadium shows.


1604328029488.jpeg
 
Mbona habari haijitoshelezi?!

Ni kwamba anamtaka warudiane, au?!

Halafu hako kabinti mara hii kamekua!!!
 
Ulaya raha wanawake wanapata haki zao kimbembe Bongo ukizaa na chekbob wako mkamwagana kama mama hujiwezi ndiyo basi tena huwezi weka tumaini Kwa ulozaa nae yani binti kama unazaa zaa tu
 
hiyo pesa ni zaidi ya milioni 50 za bongo, dah, huyo mtoto ana matumizi ya aina gani.
marekani wanaume wanateswa sana na wanawake...inshort haki sawa sio haki sawa ..maana yake wanawake watukandamize wanaume.
unakuta kwenye hiyo £21000 anayotumia kabisa mtoto ni £500 zingine mama anafinya.

mbaya mkienda court unakuta hakimu wa kike lazima dau lipandishwe
 
amekomaa kweli kweli alafu ana 'kibumbu' kikubwa balaa...atakuwa na uwanja wa mpiraa!!…..mwanaye naye anaelekea kumrithi...
 
hiyo pesa ni zaidi ya milioni 50 za bongo, dah, huyo mtoto ana matumizi ya aina gani.
Ulaya ukizaa na mwanamke uwage na pesa sana yakutosha labda upate zari mwanamke akupende akufichie siri ya madai ya mtoto na hii hûtokea wakiachana tu ila wangekuwa wanaishi wote gharama zingekuwa ndogo tu
 
Mnasemaga eti wanawake wa bongo wanapenda pesa oneni sasa huko
Mwanaume wa kibongo anaoa hata kumpa matumizi binafsi mkewe Lakitano tu hawezi anaona akimlisha chakula kamaliza kila kitu
 
Ila Eddy Murphy kazivuruga mweeh

Huyu baba ana watoto wengi mpaka wengine hawajui

Kuanzia kwa ex wife Nicole, huyo mel b, na yule dada wa kijerumani jina limenitoka, na wale stripper wa Vegas, na huyu girlfriend wake wa sasa ana kibendi...sema hela ipo huyu nigger
 
Hii sheria bongo ipo sijui. Maana me wataniua tu bora aniletee mtoto
 
Bongo tambararez you know
Le mutuz aliikimbia Marekani na hataki kusikia mambo ya diaspora sababu hii
 
Ila Eddy Murphy kazivuruga mweeh

Huyu baba ana watoto wengi mpaka wengine hawajui

Kuanzia kwa ex wife Nicole, huyo mel b, na yule dada wa kijerumani jina limenitoka, na wale stripper wa Vegas, na huyu girlfriend wake wa sasa ana kibendi...sema hela ipo huyu nigger
Ashakuwa na mahusiano mara nyingi saana na hajawahi kuwa na mahusiano na mwanamke asizae.

I wish tungempa Sepetu huyu jamaa. Akusaidie.
 
Ulaya raha wanawake wanapata haki zao kimbembe Bongo ukizaa na chekbob wako mkamwagana kama mama hujiwezi ndiyo basi tena huwezi weka tumaini Kwa ulozaa nae yani binti kama unazaa zaa tu
... uswahili vibinti kama hivyo vinatafutiwa mabwana na mama zao kama sehemu ya kipato!
 
Ikitokea akidaiwa na watoto wote 10 kwa wastani wa $20,000 kwa mwezi (acha hiyo £), tunazungumzia kama shs. 460,000,000 kwa mwezi.
 
Hiki kiwango cha childi sapoti naomba babu Asprin (Edi Mafi wa Bongo) akione, halafu mi nitamnunulia kalkuleta aanze kujipigia hesabu mwenyewe.
 
Back
Top Bottom