Mel B anamtaka Eddie Murphy kuongeza pesa za malezi ya mtoto wao Angel

Mel B anamtaka Eddie Murphy kuongeza pesa za malezi ya mtoto wao Angel

marekani wanaume wanateswa sana na wanawake...inshort haki sawa sio haki sawa ..maana yake wanawake watukandamize wanaume.
unakuta kwenye hiyo £21000 anayotumia kabisa mtoto ni £500 zingine mama anafinya.

mbaya mkienda court unakuta hakimu wa kike lazima dau lipandishwe
Wanateswa sana ili mashoga waongezeke, wanaume waone wanawake jahanamu
 
Ulaya raha wanawake wanapata haki zao kimbembe Bongo ukizaa na chekbob wako mkamwagana kama mama hujiwezi ndiyo basi tena huwezi weka tumaini Kwa ulozaa nae yani binti kama unazaa zaa tu
Wana haki za kudanga, kunyonya na kukandamiza wanaume, hizo haki za kunyonya wanaume zikija Bongo tutaomba Taliban na Al Shabaab waje watawale upuuzi mtupu, ndiyo maana Marekani mashoga wengi uanaume imekuwa mateso
 
Ulaya ukizaa na mwanamke uwage na pesa sana yakutosha labda upate zari mwanamke akupende akufichie siri ya madai ya mtoto na hii hûtokea wakiachana tu ila wangekuwa wanaishi wote gharama zingekuwa ndogo tu
Kuna mtanzania alizaa na mzungu. Mbona alirudi bongo kwa kuikimbia child support
Amezaa nae watoto 4 na siku akikanyaga airport ya US tu anashtakiwa na ni hela nyingi tu
 
Back
Top Bottom