Mel B anamtaka Eddie Murphy kuongeza pesa za malezi ya mtoto wao Angel

amekomaa kweli kweli alafu ana 'kibumbu' kikubwa balaa...atakuwa na uwanja wa mpiraa!!…..mwanaye naye anaelekea kumrithi...
Hicho kibumbu kikubwa umekionaje?
 
hiyo pesa ni zaidi ya milioni 50 za bongo, dah, huyo mtoto ana matumizi ya aina gani.
Ni mpango tu wa utawala wa shetani kuwakomoa wanaume waone kuhusiana na wanawake ni adhabu mashoga na mabasha waongezeke
 
Wanateswa sana ili mashoga waongezeke, wanaume waone wanawake jahanamu
 
Ulaya raha wanawake wanapata haki zao kimbembe Bongo ukizaa na chekbob wako mkamwagana kama mama hujiwezi ndiyo basi tena huwezi weka tumaini Kwa ulozaa nae yani binti kama unazaa zaa tu
Wana haki za kudanga, kunyonya na kukandamiza wanaume, hizo haki za kunyonya wanaume zikija Bongo tutaomba Taliban na Al Shabaab waje watawale upuuzi mtupu, ndiyo maana Marekani mashoga wengi uanaume imekuwa mateso
 
Fuba lote analolipata kama Judge wa America's got talent halafu analia nyau?
 
Ulaya ukizaa na mwanamke uwage na pesa sana yakutosha labda upate zari mwanamke akupende akufichie siri ya madai ya mtoto na hii hûtokea wakiachana tu ila wangekuwa wanaishi wote gharama zingekuwa ndogo tu
Kuna mtanzania alizaa na mzungu. Mbona alirudi bongo kwa kuikimbia child support
Amezaa nae watoto 4 na siku akikanyaga airport ya US tu anashtakiwa na ni hela nyingi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…