Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Meli kubwa ya kifahari duniani AZAMARA CRUISE yatua Dar na watalii 600 kutoka Marekani, Japan, China, Taiwan na Uingereza.
Meli hiyo imetia nanga kwenye gati jipya la kisasa lililoboreshwa ambalo ni sehemu ya maboresho yanayoendelea Bandarini.
Hahaa full uchunguzi,tunachunguza vumbi la Congowape hi.! waambie bongo tuko kwenye uchunguzi kupata dawa ya nguvu za kiume
Meli kubwa ya kifahari duniani AZAMARA CRUISE yatua Dar na watalii 600 kutoka Marekani, Japan, China, Taiwan na Uingereza.
Meli hiyo imetia nanga kwenye gati jipya la kisasa lililoboreshwa ambalo ni sehemu ya maboresho yanayoendelea Bandarini.
daisalama unaijua?? umekaa huko mbwinde mpaka unachakaa tyuuuu!! utajuaje mambo ya huku!! km uko daisalama Buguruni kweli au ilala boma si unashuka tu hapo Magogoni tena nauli moja tu! au kwa miguu tu! km siyo mtoto wa mama!hako kapicha kamoja ka google unadhani ndio utaniaminisha
Nadhani utakuwa umekosea kuniquote hebu kaangalie vizuri unaetakiwa kumquote kabla mashetani yangu ya rufiji hayajanipanda nikujibu #shwaindaisalama unaijua?? umekaa huko mbwinde mpaka unachakaa tyuuuu!! utajuaje mambo ya huku!! km uko daisalama Buguruni kweli au ilala boma si unashuka tu hapo Magogoni tena nauli moja tu! au kwa miguu tu! km siyo mtoto wa mama!
Mkuu mboma kwa pembeni yanaonekana yale magorofa pacha marefu ya bandari nadhani
Sent using Jamii Forums mobile app
Si kuna ile aliyonunua ikafa kabla haijafanya kazi... tumeihifadhi jeshini pale kama makumbusho...Magu anunue Meli ya kitalii inaonekana siku zijazo watalii hawatapendelea ndege.