Meli kubwa ya kifahari duniani AZAMARA CRUISE yatua Dar na watalii 600 kutoka Marekani, Japan, China, Taiwan na Uingereza

Meli kubwa ya kifahari duniani AZAMARA CRUISE yatua Dar na watalii 600 kutoka Marekani, Japan, China, Taiwan na Uingereza

Ipongezwe awamu ya tano maana mpaka meli za kitalii zinatua apo bandarini
 
Kuna Tamko lolote mpaka sasa kutoka kwa Wakubwa. Mana hili ni jambo la Kheri kwa nchi Yangu.
 
Karibuni
Tanzania Nchi Ya Asali Na Maziwa
Amani Imejaa
 
Ni package tu hiyo ya mzunguko katika nchi nyingi na hapa inaweza kukaa hata siku mbili au tatu ikasepa

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
hako kapicha kamoja ka google unadhani ndio utaniaminisha
daisalama unaijua?? umekaa huko mbwinde mpaka unachakaa tyuuuu!! utajuaje mambo ya huku!! km uko daisalama Buguruni kweli au ilala boma si unashuka tu hapo Magogoni tena nauli moja tu! au kwa miguu tu! km siyo mtoto wa mama!
 
Nadhani utakuwa umekosea kuniquote hebu kaangalie vizuri unaetakiwa kumquote kabla mashetani yangu ya rufiji hayajanipanda nikujibu #shwain
 
Magu anunue Meli ya kitalii inaonekana siku zijazo watalii hawatapendelea ndege.
Si kuna ile aliyonunua ikafa kabla haijafanya kazi... tumeihifadhi jeshini pale kama makumbusho...
 
Back
Top Bottom