mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Askari wa kweli ni yule anayeficha mapungufu ya jeshi lake kwa maadui.Ongereni wakenya sie kwetu bado tunamsiba tumefiwa na FARU JOHN hivyo watalii wamepungua kwa ajiri yake alikuwa kivutio sana kwenye sector ya utalii. Sasa watz bado tunamsiba ila hatujazika tangu tusikie amekufa tumeletewa pembe tu. TANZANIA NCHI YANGU.
Wewe unanipangia cha kufanya. Wewe tatizo lako ni kaushamba na kutoa foam mdomoni kama unakifafa.Haha... Umefufuka. I thought you were dead. I mean you have your own Tanzanians tourist site. Why don't you go and puke there?
Wewe unanipangia cha kufanya. Wewe tatizo lako ni kaushamba na kutoa foam mdomoni kama unakifafa.
Ndio maana ninasema wewe kuna baadhi kichwani hazipo salama. Mwenzako anaongelea meli wewe unakuja na porojo.Garissa... The Almond and Nomad
View attachment 445520
View attachment 445521
View attachment 445522
View attachment 445523
View attachment 445524
Ndio maana ninasema wewe kuna baadhi kichwani hazipo salama. Mwenzako anaongelea meli wewe unakuja na porojo.
Nadhani utakuwa na mtindio wa ubongo. Nakushauri nenda kwa daktari kabla ya miaka arobaini la sivyo utawehuka na kurukwa na akili.
Hata mimi ninatibu watu kama wewe. Njoo nikusaidie maana unatia kinyaa sana. Nadhani ule ugonjwa aliokuwa na marehemu Mohamend Ally, yule bondia unakunyemelea kwa kasi. Ugonjwa huo unakufanya upoteze kumbukumbu. Unaweza kusahau kuvaa nguo na kutembea uchi. Wahi haraka sana kabla wadudu hawajamaliza ubongo wote.Asante. Nitaenda kesho
Ni kweli Tanzania hatuna vita wala ukabila.Kenya hamna utalii mlionao bongo haupo Ila uku tunavitu nyie hamna...
Nimesema hakika wewe upo na mtindio wa ubongo.Arabuko Sokoke..... And Butterfly hatching
View attachment 445528
View attachment 445529
View attachment 445531
View attachment 445532
Hata mimi nataka niende Kenya kuomba ushauri, maana mke wangu siku za karibuni ananigongagonga sana makonzi na kunivuta masikio
Wewe nimekuambia kichwani hazimo na huenda ni ufinyu wa exposure. Yaani kitu unachokiona wewe kipya unadhani ni cha ajabu sana. Mwenzako ameleta mada ya kuhusu meli wewe unaongelea chumvi. Nadhani lengo lako tushangae kumbe unaonekana mshamba kiaina.On one of those lazy days after a hard partying... One can visit the Magarini salt mines....
View attachment 445542
View attachment 445543