Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Vita vya Iran kwa Israel vimeanza rasmi kwa njia za awali kutumia mbinyo wa kiuchumi.
Houth kutoka Yemen ambao ni washirika wa Iran walisema zamani kuwa wataifunga Homutz na Mediteranean na watu hawakufahamu kwa vipi na lini.
Sambamba na maandalizi ya kuipiga Israel moja kwa moja, Leo ndio Iran imeanza kwa kuiteka meli ya Israel iliyokuwa ikipita uchochoro wa bahari ya Homutzi.
Meli hiyo inamilikiwa na kampuni ya Zodiac Maritime inayomilikiwa na bebari wa kiyahudi aitwaye Eyal Ofer na ilijificha kwa kupeperusha bendera ya Ureno.
Baada ya Houth kusimamisha safari za meli kwenda bandari ya kusini ya Israel ya Eliat, Israel ilitumia mwanya wa uchochoro wa Homutz kupitishia bidhaa zake mpaka UAE na baadae kuzisafirisha kwa njia ya ardhi kupitia nchi hiyo.
Huo utakuwa ni mbinyo ambao utaiwacha Israel na bahari ya mediteranean tu mpaka hapo na Hizbullah watakapokasirishwa na kuamua kuiziba pia.