Meli ya Israel yatekwa uchochoro wa bahari ya Hormuz

Meli ya Israel yatekwa uchochoro wa bahari ya Hormuz

Umemsikia Biden alivyobweka kuhusu Iran kuishambulia Israel!?..ukiipiga tutailinda,hapo kaisrael kamejificha nyuma ya mgongo wa marekani,hakana lolote
Kameandikiwa hayo mkuu! Kwamba mmataifa yote yenye nguvu yatajipendekeza kukalinda!
 
Mbona hiyo habari ni ya miezi ya nyuma? Au zimerejea meli zaidi ya moja hizo za Zodiack?
 
Israeli hana uwezo wa kupigana na Iran. Angekua na uwezo angeshafanya siku nyingi sana. Tunajua anamtegemea huyo bwanaake marekani ila nae mchumba tu
Wazungu kwa muda mrefu wametafuta sababu ya kuipiga Iran kwa sababu ya kurutubisha Nyuklia, sasa naona sababu wameipata, wanataka Iran iingie directly
 
Wazungu kwa muda mrefu wametafuta sababu ya kuipiga Iran kwa sababu ya kurutubisha Nyuklia, sasa naona sababu wameipata, wanataka Iran iingie directly
Iran anayo nuclear tayari. Wanatakiwa wasimsubiri aingie kama kweli wamedhamiria walianzishe tu.
 
Sir John Roberts tujukumbushane baada ya miezi miwili ijayo ikiwa Iran atajichanganya
Iran yupo vitani daily mkuu. Au unadhani Hezbollah, Houth na hao Islamic resistance wa Iraq ni nani? Hao kila siku wanaitwanga israeli. Chukua hiyo kutoka kwa muyahudi originally siyo nyie wa mchongo.
 
Attachments

  • 20240413_163933.jpg
    20240413_163933.jpg
    89.3 KB · Views: 3
Washabiki wa Saddam wanaujua mziki
Aisee mkuu unamuongelea sadama ambaye hata nuclear kwajili ya kuzalisha umeme tu alikuwa hawezi kutengeneza? USA aliingia Iraq kuchukua mafuta kaka Iran anatengeneza ballistic missiles, anatengeneza nuclear bomb , ana tekonolojia yake na yupo kwenye sanctions zaidi ya miaka 40 unamlinganishaje na Saddam? Ebullient kuwa siriaz nakuheshimu ujue
 
Mbona wakichapwa na Saddam hadi wakaomba po.
 
Kwa specifications ulizoziweka hapa, Hiyo Meli ni ya Ureno, unasemaje ni ya Israel? Au una report mambo yanayokuzidi kimo, umri na uelewa?
Au kwa kuwa inamilikiwa na Myahudi? Haujui kuwa ndani ya Iran Wayahudi pia wapo na wanamiliki Mali? Au haujui kwamba hata aliyewahi kuwa rais maarufu wa Karibuni nchini Iran na mwenye hesima kubwa ana asili ya Kiyahudi?
Meli inamilikiwa na bilionia wa kiisrael.
 
badala ya kuzikunja mpigane unaanza kuteka meli, mi nilishangaa ati iran arushe kombola lolote Israel?labda israel ya mbagala.
 
Back
Top Bottom