Meli ya Israel yatekwa uchochoro wa bahari ya Hormuz

Meli ya Israel yatekwa uchochoro wa bahari ya Hormuz

Israel hapigani ni US na UK safari hii Ayatolah anang'oka kabla hajatengeneza Mabomu ya Atomiki Dunia nzima itapumua.

Ayatolah akiondolewa Hezbola watachapwa na Israel mpaka wakimbie Houthi nao itabidi Serikali halali ya Yemen iungwe mkono kuwaondoa Houthi na kuwarudisha kwenye Mashamba ya Mirungi Deal Done!

Amani inarejea Duniani.
Kinachotokea ni kinyume ya hayo.
Israel inategemea zaidi US na UK .Zote mbili ziko hali mbaya za kiuchumi ndio maana wamemuachia Ukraine na janga lake.
Iwapo ni hivyo Houth ,Hamas,hezbollah na Iran watakuw wamepat nyama kilaini ya kuila.
Hatimae na Misri na Jordan zitapinduliwa atabaki Saudia akiwa amenywea sana.
Kama Ufaransa ilivyotimuliwa kutoka Afrika kaskazini na magharibi na US na UK nazo zitaondolewa kutoka middle East na dunia itapata amani ya muda mrefu na heshima itarudi kwa walioonewa karne kadhaa.
 
Ngoja uone usije tu kubadili ID na kujificha.
 
Tatixo la kupenda wa Imani na hisia bila kuwa na shule wala knowledge vichwani. Hebu tuambie, hapo uhusiano uliopo kati ya Mediterranean na Yemen walipo hao Houth upo wapi?
Kila siku huwa tunawaambieni humu kuwa mnakuja na nyuzi za kujazana upumbavu tu halafu mmaitikiana ‘Takbiir ‘
View attachment 2962324
Hawa watu huwa hawasomi
 
Aisee mkuu unamuongelea sadama ambaye hata nuclear kwajili ya kuzalisha umeme tu alikuwa hawezi kutengeneza? USA aliingia Iraq kuchukua mafuta kaka Iran anatengeneza ballistic missiles, anatengeneza nuclear bomb , ana tekonolojia yake na yupo kwenye sanctions zaidi ya miaka 40 unamlinganishaje na Saddam? Ebullient kuwa siriaz nakuheshimu ujue
Ukumbuke Iraq alipigana na Iran miaka 8, 1980-88 na wakatoka suluhu
 
Hakuna siku utazungumzia au kupost mambo ya amani??
Tusiwe watumwa wa dini zetu!!!!
Nashangaa hata moderator wanaliruhusu hili gaidi kuweka mabandiko yake ya kigaidi kila wakati hapa JF. Lilipaswa lipewe permanent ban,hazungumzii amani hata siku moja.
 
Iran hana chochote cha kuifanya Israel mkuu Alwaz
Israel wanahamisha watu kwenda kujificha kwenye mahandaki, wanahamisha ndege vita kwenda kwenye mahandaki, wanakusanya maelfu ya Tani ya toilet papers Kwa ajili ya kujitawdha huko mahandakini, shule zimefungwa, hospitali zote wameambiwa wajipange Kwa mass casualties haya yoote yanafanywa na serikali ya Israel lakini wewe mngoni wa Lituhi unadai kuwa Iran Hana Cha kufanya Kwa Israel sasa hiyo hamisha hamisha ni ya Nini na akati wao Wana Kila kitu Cha kujilinda?
 
🤣🤣🤣

Ulitaka wafanye nini mkuu, wasikilizie tu itakavyokuwa??

Picha na video ziko wapi
 
Back
Top Bottom