Meli ya Israel yatekwa uchochoro wa bahari ya Hormuz

Kinachotokea ni kinyume ya hayo.
Israel inategemea zaidi US na UK .Zote mbili ziko hali mbaya za kiuchumi ndio maana wamemuachia Ukraine na janga lake.
Iwapo ni hivyo Houth ,Hamas,hezbollah na Iran watakuw wamepat nyama kilaini ya kuila.
Hatimae na Misri na Jordan zitapinduliwa atabaki Saudia akiwa amenywea sana.
Kama Ufaransa ilivyotimuliwa kutoka Afrika kaskazini na magharibi na US na UK nazo zitaondolewa kutoka middle East na dunia itapata amani ya muda mrefu na heshima itarudi kwa walioonewa karne kadhaa.
 
Ngoja uone usije tu kubadili ID na kujificha.
 
Hawa watu huwa hawasomi
 
Ukumbuke Iraq alipigana na Iran miaka 8, 1980-88 na wakatoka suluhu
 
Hakuna siku utazungumzia au kupost mambo ya amani??
Tusiwe watumwa wa dini zetu!!!!
Nashangaa hata moderator wanaliruhusu hili gaidi kuweka mabandiko yake ya kigaidi kila wakati hapa JF. Lilipaswa lipewe permanent ban,hazungumzii amani hata siku moja.
 
Iran hana chochote cha kuifanya Israel mkuu Alwaz
Israel wanahamisha watu kwenda kujificha kwenye mahandaki, wanahamisha ndege vita kwenda kwenye mahandaki, wanakusanya maelfu ya Tani ya toilet papers Kwa ajili ya kujitawdha huko mahandakini, shule zimefungwa, hospitali zote wameambiwa wajipange Kwa mass casualties haya yoote yanafanywa na serikali ya Israel lakini wewe mngoni wa Lituhi unadai kuwa Iran Hana Cha kufanya Kwa Israel sasa hiyo hamisha hamisha ni ya Nini na akati wao Wana Kila kitu Cha kujilinda?
 
🤣🤣🤣

Ulitaka wafanye nini mkuu, wasikilizie tu itakavyokuwa??

Picha na video ziko wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…