bin haroub
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,662
- 812
Kama ni hivo hao askari wa kiyahadi wanauliwa na kina nani huko Gaza? Kwa mujibu wa idf Tayari idadi vifo vya askari wa kiyahudi imefikia 60 huko Gaza ni nani anawauwa ?Wamekimbia wote [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yanachokoza then yanajificha nyuma ya watoto na wanawake ila humo humo Myahudi anapiga pigo takatifu! Kwann hao wanaume wasijitokeze kama watoto wao wanauwawa
Kisingizio cha Yahudi ili waendelee kufanya unyama!Kama ni hivo hao askari wa kiyahadi wanauliwa na kina nani huko Gaza? Kwa mujibu wa idf Tayari idadi vifo vya askari wa kiyahudi imefikia 60 huko Gaza ni nani anawauwa ?
Ulitaka Israel wasemeje?
Wewe baba wa miaka 48 ukimuona mtoto mdogo wa miaka 10 anawashwawashwa utamkuna?Unaona kabisa mtu anawashwa washwa kisa akianza kukunwa kisawasawa utasikia watu oohh unamuonea sasa anaonewa vipi na kataka mwenyewe.
But the fact remain the same that he was a terrorist!Ndo walikupiga Kamba hiyo madrasa ? waziri mkuu wa kwanza Israel ni David Ben gurion
But to say he was a first prime minister is a fallacyBut the fact remain the same that he was a terrorist!
Pia acha upumbavu wa stereotypes za kidini, unakufanya uonekane uko mpumbavu kiasi gani.—Unadhani kila mtu ni mdini hapa Jukwaani.
Maelewano ni lazima japan akubali kuacha kuwaunga mkono magaidi wa israeli.
Hiyo meli inamilikiwa na tajiri wa kiyahudi rami unger's Ray shipping groupView attachment 2820121
Hao ni maharamia kama wale Wasomali. Mwisho wa siku watadai pesa
Hakika, nafikiri ni kama kiwanja Cha mpira,kuliona hilo tazama helcopter wakati inaipitia kwa juu mpaka kutua kwake juu ya meli na kuondokaDuh limeli ni likubwa sana.
Ni kweli kabisa, ila Hamas wasirudie tena kumchokoza Israel.Tena bora Hitler angewamaliza wote mpaka huko Israel.
Mimi ni Mkristo lakini huu unyama sio wa kuitazama kidini hata kidogo bali tunapaswa kuzingatia utu.
muda wa moto ukianza yemen hatutak keleleHao Wajapani wawaachie waende zao, ila hiyoo meli waitie kiberiti
kwan japan anahusika na hiyo vita?Hiyo imeshaingia mikononi inabidi ipigwe mnada pesa ziende Palestine
mnashabikia ujambaz halaf mnataka dunia iwapendeWajapani wataachiwa ila meli itapigwa mnada