Meli ya Kijeshi USS HERSHEL - Woody Williums kutoka Marekani kufanya ziara ya siku tatu Tanzania

Meli ya Kijeshi USS HERSHEL - Woody Williums kutoka Marekani kufanya ziara ya siku tatu Tanzania

Jackbauer

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
6,053
Reaction score
2,207
Ni katika harakati za kuimarisha uhusiano wa kiulinzi meli hii kubwa ya kijeshi kutoka USA inafika bandari Salama ikiwa ni zaidi ya muongo mmoja kutokea kwa tukio hili.

20220814_091344.jpg
 
Hata USA afanyeje, Tz is pro Russians.
Sawa Mrusi wa Buza, tuambie basi hao Warusi wenzio huwa wanatusaidia nini au kutukopesha? Hivi mama ataenda Moscow lini kutuletea mafuta ya bei poa na ngano?? [emoji12] [emoji12]
 
Sawa Mrusi wa Buza, tuambie basi hao Warusi wenzio huwa wanatusaidia nini au kutukopesha? Hivi mama ataenda Moscow lini kutuletea mafuta ya bei poa na ngano?? [emoji12] [emoji12]

Misaada gani yenye masharti!!, eti tuwe mashoga ndio tupewe misaada!!---Ni lini Beberu akupe misaada isiyokuwa na maslahi kwake??!!--- walianza kututawala na sasa kwa kutumia akili remotelly wanatutawala kiuchumi,kisiasa na kiutamaduni, mfano "Uvaaji wa kata K" (matako wazi) wa vijana wetu ni moja ya athari za mabeberu.

Ogopa mabeberu.
 
Back
Top Bottom