Meli ya Kijeshi USS HERSHEL - Woody Williums kutoka Marekani kufanya ziara ya siku tatu Tanzania

Meli ya Kijeshi USS HERSHEL - Woody Williums kutoka Marekani kufanya ziara ya siku tatu Tanzania

Mbona Samia kaenda US lakini hajaenda Russia? Nafikiri angezindua Royal Tour yake Moscow, ingekuwa poa zaidi.

Kwani royal tour ilikuwa ni ziara ya kiserikali ya kwenda kuomba misaada ??!!
 
Ni katika harakati za kuimarisha uhusiano wa kiulinzi meli hii kubwa ya kijeshi kutoka USA inafika bandari Salama ikiwa ni zaidi ya muongo mmoja kutokea kwa tukio hili.
Tunanufaikaje kama nchi?
Je Urusi akiomba naye atutembelee kwa nia hiyo tutamkubali?
Vipi ikitokea na China anataka kufanya vivyohivyo?
 
Mbona Samia kaenda US lakini hajaenda Russia? Nafikiri angezindua Royal Tour yake Moscow, ingekuwa poa zaidi.
US ndio kuna soko kubwa la utalii; Kwani Tanzania ikitaka kutangaza biashara ya mahindi itaenda uganda?
 
Nilitaka nipige picha Jana hii meli pale bandari Ila nikaona yasije kujikuta ya mandonga..Nikapotezea

Ila siyo kubwa km unavyoipamba..kuna meli ya mafuta ipo karibu na hii meli,hii ya marekani inaonekana Kama sisimizi Tu mbele ya lile dude

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Tunanufaikaje kama nchi?
Je Urusi akiomba naye atutembelee kwa nia hiyo tutamkubali?
Vipi ikitokea na China anataka kufanya vivyohivyo?
China walikuja 2015
 
Ndo kusafisha bahari yote kisa washkaji wapenda ushoga
#Mserbia wa Simba
 
Back
Top Bottom