Meli ya Kijeshi USS HERSHEL - Woody Williums kutoka Marekani kufanya ziara ya siku tatu Tanzania

Imechukua muda gani hadi kufikia hapa??
 
Hata USA afanyeje, Tz is pro Russians.
Sawa Mrusi wa Buza, tuambie basi hao Warusi wenzio huwa wanatusaidia nini au kutukopesha? Hivi mama ataenda Moscow lini kutuletea mafuta ya bei poa na ngano?? [emoji12] [emoji12]
 
Sawa Mrusi wa Buza, tuambie basi hao Warusi wenzio huwa wanatusaidia nini au kutukopesha? Hivi mama ataenda Moscow lini kutuletea mafuta ya bei poa na ngano?? [emoji12] [emoji12]

Misaada gani yenye masharti!!, eti tuwe mashoga ndio tupewe misaada!!---Ni lini Beberu akupe misaada isiyokuwa na maslahi kwake??!!--- walianza kututawala na sasa kwa kutumia akili remotelly wanatutawala kiuchumi,kisiasa na kiutamaduni, mfano "Uvaaji wa kata K" (matako wazi) wa vijana wetu ni moja ya athari za mabeberu.

Ogopa mabeberu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…