Meli ya mafuta ya Ugiriki yakiuka marufuku ya kusafiri kwa bandari za Israel yalipuliwa.

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

Ansar Allah ya Yemen AILIPUA meli ya mafuta ya Ugiriki katika Bahari Nyekundu kwa kukiuka marufuku ya kusafiri kwenda bandari za Israel.

Yemen wamesema wazii kabisa hawataki kuona Meli yeyote ikipita red sea kupeleka bidhaa zozote Israel kwa wauaji wa Watoto wa Gazza.

View: https://x.com/jacksonhinklle/status/1827129076798067032?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Walioilipua ndio waliokuwa wanachukua video wakiwa kwenye boti wapeleke habari kwa Yahya Saree.Unaona jinsi camera inavyocheza cheza.
 
Mwaka mzima hakuna kinachopita unadhani mzungu hataki kuwapiga? Au anafurahia hasara hii anayopata hadi bandari ya isael imefilisika? Siyo rahisi kihivyo siku hizi hakuna fala
kwan hamas si waliaachwa wanarusha rockets tangu 2014 mpk 2023 ( miaka 9 ) waliponogewa wakapewa doz nene , hao houth wanaachwa ili mataifa ya hapo middle east yaoneshwe umuhimu wa kudili na hao houth
Hata Gadaf aliachwa akajiwambafaia kufadhiri uasi afrika , kusapoti mapinduz afrika , kueneza itikadi za kidini , yote yaliachwa ili kujenga hofu kwa viongoz wa afrika kuwa Gadaf alikuwa tishio kwao hivyo akija kupewa doz nene bas watulie na kufutahi beast anadhibitiwa na sio mkomboz anadhibitiwa

Mzungu hufanya mamb kwa timing na sio kukurupuka
 
wewe akili yako haipo sawa, kwahiyo kwa akili yako gaddafi kauliwa kwa kueneza itikadi ya dini? Aisee kuna very serious problem kwenye elimu yako
Hakuna siku mdhalimu atakaa kwa amani , as long as mzungu anafanya udhalimu kwenye ardhi za watu, watu hao wataendelea kupigania haki zao na watazidi kuunda vikundi vipya
ISrael na marekani tangu waanze kuwauaa hamas nini walichofanikiwa?
Hadi leo israel anaendelea kupoteza askari wake hadi sasa kaishiwa wanajeshi ,wengi wamekufa na wengine majeruhi
jews wanaishi kwa hofu popote pale walipo duniani hadi kuficha identity zao
Kutengwa na dunia
Mawaziri wawili wa israel wanampinga netanyahu kwa kusema anadanganya kuhusu hali halisi ya vita na kwamba hawatweza kuwashinda na kuwamaliza hamas kama netanyahu anavyodai, mmoja karesign(gantz)
Udhalimu hauwezi kushinda hata siku moja, resistance ni milele hadi haki itakapopatikana
 
Gaddafi alikua gaidi alietaka kusilimisha bara zima la Africa matokeo yake akaja kushughulikiwa na watu wa nyumbani kwake
 
Elimu ndio tatizo lako ukielimika huwezi kuongea huo ujinga, nyie ndio mnaosema dp world inakuja kueneza uislamu akili kisoda, huko dp world ikimiliki bandari zaidi ya 90 duniani kote ikiwemo ulaya, na husikii wazungu wakilalamika
 
Achana story za vijiweni tumia akili yako kufikiri, wazungu hawawezi kumpenda kiongozi yoyote wa africa mwenye mtizamo wa kujikomboa kutoka utegemezi wao, wanaishi kwa riba na kuiba resources, gaddafi aliifikisha libya kuwa na maisha bora kuliko hata ulaya na hakuna nchi ya africa ambayo haijasaidiwa na gaddafi
Sikiliza mahojoano ya museveni kuhusu kilichotokea libya na yule ni mkristo kama wewe, acheni kuabufu wazungu tumieni akili mlizopewa na mungu, mkiambiwa muwe mashoga ili mpewe msaada mnakuwa wakali huku mnaabudu wazungu bila ya kufikiria, when u want to kill a dog u have to give it abad name
 
Kwa hiyo suluhisho ndo kuchoma meli ya mafuta????

Huna akili kabisa wewe.... Jinga sana.....
Kwahyo ww unaumia sn hzo meli zinazobeba misaada Kwa Israel hili aendelee kushambulia shule , refugees camp na hospital na Israel vikwazo hvyo vinamuuma sana maana hakuna kinachoingia na vikiingia vinazunguka bara Zima la Africa vikifika Israel bei juu
 
Back
Top Bottom