Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Gaddafi alipoingia madarakani Libya kitu cha kwanza kupiga marufuku ni uwepo wa makanisa inshort alipiga marufuku ukristo usiwepo.Achana story za vijiweni tumia akili yako kufikiri, wazungu hawawezi kumpenda kiongozi yoyote wa africa mwenye mtizamo wa kujikomboa kutoka utegemezi wao, wanaishi kwa riba na kuiba resources, gaddafi aliifikisha libya kuwa na maisha bora kuliko hata ulaya na hakuna nchi ya africa ambayo haijasaidiwa na gaddafi
Sikiliza mahojoano ya museveni kuhusu kilichotokea libya na yule ni mkristo kama wewe, acheni kuabufu wazungu tumieni akili mlizopewa na mungu, mkiambiwa muwe mashoga ili mpewe msaada mnakuwa wakali huku mnaabudu wazungu bila ya kufikiria, when u want to kill a dog u have to give it abad name
Alianza na Libya kwanza lakini agenda yake ilikua ni bara zima la Africa