Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuingia malipo ni cash shilingi Elfu 1 ya kitanzania, kibanda cha tiketi kipo pale Gate number 2 la bandariMalipo yanafanyika kwa njia gani ?ya kuingia kiingilio pamoja na huduma za ndani
Wanaruhusu kusoma vitabu mkuu au mpaka ununueKuingia malipo ni cash shilingi Elfu 1 ya kitanzania, kibanda cha tiketi kipo pale Gate number 2 la bandari
Ila kwa upande wangu uwa naona hilo duka la vitabu halina cha ajabu kiviiiile sema labda kwa sababu duka lenyewe limo ndani ya meli. BTW hivi ule mgahawa mle ndani ndiyo mgahawa "wa kimataifa"? Safarii hii hapo dukani nimewanunulia watoto series kadhaa za The Famous Five, Nancy Drew n.k. na kila kitabu nimekinunua kwa unit 200 ambazo ni sawa na TZS 12,000/=.
Kwaiyo vile vitabu vizuri vinapatikana ? Kama vya The power of subconscious mind n.k? Law of Attraction , Big think , RICH DADY POOR DADY ??
Jamani melikebu bado ipo ? Na kama ipo mwisho lini kuondoka
Duuuh asante kwa taarifaKesho mwisho