Tetesi: Meli yenye kubeba Radioactive ipo njiani kuja Tanzania

Tetesi: Meli yenye kubeba Radioactive ipo njiani kuja Tanzania

Kama wanaweza awamu nyingine naomba walete yanayo ua mi-ccm tu, kuanzia bibi maushungi mpaka wale wanao pewa mikofia kipindi cha uchaguzi. Tuanze upya
 
Hawa wako bize wanamshughulikia Mbowe wakimaliza ndio wataendelea na ufatiliaji
 
Hakuna meli inayoweza kuingia bandari ya nchi yoyote bila kutoa taarifa na kupewa ruhusu. Ni pamoja na kutoa taarifa ya kila kitu kilichopo ndani ya meli pamoja na idadi ya crew member na wasifu wao.

Hivyo kama walisha call inn bandari ya Dar it means all protocols and security clearance have been in place.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo !!!!kwa protocol hiyo akuna kichwa cha treni kingeokotwa bandarini
 
Hii kama ni kweli ni Serious issue, nashangaa wadau tunachukulia poa..., hii inaweza kuwa watu wamelipwa ili kuja ku-dump hizo sumu sababu wanapotoka jinsi ya ku-dispose hizo waste ni gharama na ni hatari huku kuwaacha waje ni kujiua na kujiletea madhara hapo mbeleni

Ila hata kwao wanaoleta ni wapuuzi na wana upeo mfupi ni kama kujisaidia sebuleni sababu wewe upo chumbani unasahau kwamba mwisho wa siku harufu itafika
 
Ma ngwini fanyeni kazi zenu za ki ngwini na mtuache ma scientist tufanye kazi zetu za ki science. Tatizo lenu mangwini kila ngoma mnaoyo pigiwa ni lazima muicheze. For sure hata category za radio active material huzijui….
Haya mtaalamu wa nuclear meli inakuja kafanye kazi.
 
Acha uongo !!!!kwa protocol hiyo akuna kichwa cha treni kingeokotwa bandarini
Well, kama unataka kujifunza kitu kaa Kwa kutulia. Kwanzaa nilishapuuza hii Habari baada ya kautafiti kadogo tu. Ila Kwa kuwa umequote acha nikwambie.

Kwanza hiyo meli haiji Tanzania, hiyo Seago piraeus, imetoka India na inaelekea port of Salalah Oman. Ili cross India ocean. Kinachosadikiwa Kuja Tanzania ni container ambalo lilifaulishwa Transhipment hapo Mundra port India. Sasa India Wali declear Hilo container kama dry cargo na wakalipakia... Ila port ya Mombasa ndio wakaona Kuna mionzi.

Swali ni kwamba Mundra port India walijua Kuna mionzi mikali ila wakadanganya ili container lije tu ila Kenya Waka intercept kulikamata? Au mitambo ya Kenya iko more effecient kuliko ya India?

Pili wangesema origin ya Hilo container ni wapi, maana wametaja tu point of transhipment, tukijua origin na kupata shipping documents tunaweza kujua mwenye mzigo halisi ni Nani na kujua huo mzigo unakwenda wapi na ni Kwa ajili gani..

Otherwise ni Janja janja tu ambazo mzee wetu alikuwa anapenda kusema tuko kwenye vita. Ni porojo tu kama zile za mgonjwa wa Covid (omicron) kupatikana India akitokea Tanzania.

Fungua ubongo, fungua patterns.. India-Kenya-Tanzania...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Al Shabaab na makurdi mengine ya kigaidi yanaweza kuteka meli hiyo na kupora hiyo malighafi muhimu kwao.

Bomb lililolipua ubalozi wa USA 🇺🇸 lilitengenezwa Ilala jirani na kwa kina Ikupa Paighty Mwainyekule
bomu lililo lipua ubalozi wa marekani lilianza kutengenezwa science - kijitonyama kwenye garage ya M.M ya yule mzee wa kichagga,
 
IMG_20211220_205732_714.jpg

MV Seago Pireaus huu mzigo huu! Kwa hili, nitamkumbuka sana JPM. Pumzika kwa amani mzalendo wa kweli!
IMG_20211220_205732_714.jpg
 
Mzigo gani huo?
Usije kuwa wa Omicron 🤣🤣🤣🤣
Halafu ukitua tu unafuata njia ya kile kimbunga Jobo.
 
Au ni kama zile kemikali(substance) zilizolipuka kule Beirut Lebanon mwaka jana?
 
Back
Top Bottom