Tetesi: Meli yenye kubeba Radioactive ipo njiani kuja Tanzania

Tetesi: Meli yenye kubeba Radioactive ipo njiani kuja Tanzania

Ma ngwini fanyeni kazi zenu za ki ngwini na mtuache ma scientist tufanye kazi zetu za ki science. Tatizo lenu mangwini kila ngoma mnaoyo pigiwa ni lazima muicheze. For sure hata category za radio active material huzijui….
Huwezi kuwa mwanasayansi wewe. Nina sababu zaidi ya nne kusema hivi kwa kutumia quote yako hii
 
Hata baadhi ya mbolea zina content za radioactive material ( zinaitwa subradioactice material) na ukiziwekea detonator na kuzi lipua zina lipuka zaidi ya boom,.
 
usikute hao wa kenya kwenye hiyo meli wameona cynide au mbolea au hata spare parts za scanners / xray machines ….,….!
 
Hakuna meli inayoweza kuingia bandari ya nchi yoyote bila kutoa taarifa na kupewa ruhusu. Ni pamoja na kutoa taarifa ya kila kitu kilichopo ndani ya meli pamoja na idadi ya crew member na wasifu wao.

Hivyo kama walisha call inn bandari ya Dar it means all protocols and security clearance have been in place.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kulivyooza bandarini, lolote linaweza likatokea tusibishe.
 
Hakuna meli inayoweza kuingia bandari ya nchi yoyote bila kutoa taarifa na kupewa ruhusu. Ni pamoja na kutoa taarifa ya kila kitu kilichopo ndani ya meli pamoja na idadi ya crew member na wasifu wao.

Hivyo kama walisha call inn bandari ya Dar it means all protocols and security clearance have been in place.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa ndio wasomi wa Tanzania wanaokaa maofisini tu hawataki kuhakiki mambo kuona ukweli wake
Wanashindwa kujua kuwa Kuna watu wenye dhamana huko baharini wakipewa mchongo wanaweka uzalendo pembeni maisha yanaendelea
 
Kwa taarifa yako Wakenya si watu wema sana Kwetu, jilizishe kwanza kabla ya kuchukua hatua kwa kila taarifa unayo pewa na mkenya…..
Unaposema wakenya, unamaanisha nini mkuu, wananchi wa kenya au serikali ya kenya .?
 
Naona wazee wa Eagle wings watakuwa na info za kutosha

Ova
 
Ahsante Kwa taarifa, Ngoja tuanze kufuatilia...
 
Hakuna meli inayoweza kuingia bandari ya nchi yoyote bila kutoa taarifa na kupewa ruhusu. Ni pamoja na kutoa taarifa ya kila kitu kilichopo ndani ya meli pamoja na idadi ya crew member na wasifu wao.

Hivyo kama walisha call inn bandari ya Dar it means all protocols and security clearance have been in place.

Sent using Jamii Forums mobile app
What if they feed you wrong info. Ni rahisi ku declear kwamba tuna magaloni ya oili kumbe hiyo oili ndio radio active subs zenyeae.
 
What if they feed you wrong info. Ni rahisi ku declear kwamba tuna magaloni ya oili kumbe hiyo oili ndio radio active subs zenyeae.
Wata declare vipi wrong information wakati lazima watakabidhi meli Kwa wa-Tanzania Kwanza ndio waifikishe kwenye eneo rasmi la bamdari? Meli inapokelewa nje ya eneo letu huko.. Na ukaguzi unafanyika upya kujiridhisha ndio capten wa Tanzania wana chukua usukani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnapewa msaada wa kujengewa barabara kwa mkopo, ila masharti yake mnaambiwa lazima mchanga utakaotumika kwenye huo ujenzi utokee nchini kwao.
 
What if they feed you wrong info. Ni rahisi ku declear kwamba tuna magaloni ya oili kumbe hiyo oili ndio radio active subs zenyeae.
Acha tu brother, hii nchi kuna mamtu kama manguruwe, limtu linapewa tahadhari kuwa unaletewa chakula cha sumu, linasema no, chakula hakiwezi kua cha sumu kwa sababu ni lazima kikaguliwe na mlinzi. Na linakula linakufa
 
Chemical za sumu

1639991570569.png
 
Chakwanza sisi tuna migodi,chapili nchi zinazo pitisha mizigo hapa nzo pia zinauhitaji wa hizomionzi hatuna haja ya kuhofia ni kuangalia tu umakini wa kuipokea na jinsi ya kuisafirisha kwa njia salama .
Hizo hiwa ni kutanga ku dump
 
Back
Top Bottom