Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Nchi yetu ni kokoro.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi kuwa mwanasayansi wewe. Nina sababu zaidi ya nne kusema hivi kwa kutumia quote yako hiiMa ngwini fanyeni kazi zenu za ki ngwini na mtuache ma scientist tufanye kazi zetu za ki science. Tatizo lenu mangwini kila ngoma mnaoyo pigiwa ni lazima muicheze. For sure hata category za radio active material huzijui….
Acha tu mdau sasa ivi meli za sulphur ndio zimekua nyingi mno kuliko kipindi chochote kile huko bandarini.......Nchi yetu ni kokoro.
Kulivyooza bandarini, lolote linaweza likatokea tusibishe.Hakuna meli inayoweza kuingia bandari ya nchi yoyote bila kutoa taarifa na kupewa ruhusu. Ni pamoja na kutoa taarifa ya kila kitu kilichopo ndani ya meli pamoja na idadi ya crew member na wasifu wao.
Hivyo kama walisha call inn bandari ya Dar it means all protocols and security clearance have been in place.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa ndio wasomi wa Tanzania wanaokaa maofisini tu hawataki kuhakiki mambo kuona ukweli wakeHakuna meli inayoweza kuingia bandari ya nchi yoyote bila kutoa taarifa na kupewa ruhusu. Ni pamoja na kutoa taarifa ya kila kitu kilichopo ndani ya meli pamoja na idadi ya crew member na wasifu wao.
Hivyo kama walisha call inn bandari ya Dar it means all protocols and security clearance have been in place.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaposema wakenya, unamaanisha nini mkuu, wananchi wa kenya au serikali ya kenya .?Kwa taarifa yako Wakenya si watu wema sana Kwetu, jilizishe kwanza kabla ya kuchukua hatua kwa kila taarifa unayo pewa na mkenya…..
Chemical za sumuNi kwa matumizi gani? Labda serikali wanajua zaidi ndio maana inakuja... Au na yenyewe ina pita kuelekea msumbiji...
What if they feed you wrong info. Ni rahisi ku declear kwamba tuna magaloni ya oili kumbe hiyo oili ndio radio active subs zenyeae.Hakuna meli inayoweza kuingia bandari ya nchi yoyote bila kutoa taarifa na kupewa ruhusu. Ni pamoja na kutoa taarifa ya kila kitu kilichopo ndani ya meli pamoja na idadi ya crew member na wasifu wao.
Hivyo kama walisha call inn bandari ya Dar it means all protocols and security clearance have been in place.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wata declare vipi wrong information wakati lazima watakabidhi meli Kwa wa-Tanzania Kwanza ndio waifikishe kwenye eneo rasmi la bamdari? Meli inapokelewa nje ya eneo letu huko.. Na ukaguzi unafanyika upya kujiridhisha ndio capten wa Tanzania wana chukua usukani.What if they feed you wrong info. Ni rahisi ku declear kwamba tuna magaloni ya oili kumbe hiyo oili ndio radio active subs zenyeae.
Kule kuna watu wengi mkuu. Ni mamlaka kamili.. Ukiona watu wanaweza kufanya namna kama hii unayowaza hapa bhas ujue as a country tutakuwa tumekwisha.. Maana lile ndio lango kuu.Kulivyooza bandarini, lolote linaweza likatokea tusibishe.
Acha tu brother, hii nchi kuna mamtu kama manguruwe, limtu linapewa tahadhari kuwa unaletewa chakula cha sumu, linasema no, chakula hakiwezi kua cha sumu kwa sababu ni lazima kikaguliwe na mlinzi. Na linakula linakufaWhat if they feed you wrong info. Ni rahisi ku declear kwamba tuna magaloni ya oili kumbe hiyo oili ndio radio active subs zenyeae.
Acha tu brother, hii nchi kuna mamtu kama manguruwe, limtu linapewa tahadhari kuwa unaletewa chakula cha sumu, linasema no, chakula hakiwezi kua cha sumu kwa sababu ni lazima kikaguliwe na mlinzi. Na linakula linakufaChemical za sumu
Hizo hiwa ni kutanga ku dumpChakwanza sisi tuna migodi,chapili nchi zinazo pitisha mizigo hapa nzo pia zinauhitaji wa hizomionzi hatuna haja ya kuhofia ni kuangalia tu umakini wa kuipokea na jinsi ya kuisafirisha kwa njia salama .