Acha uongo !!!!kwa protocol hiyo akuna kichwa cha treni kingeokotwa bandarini
Well, kama unataka kujifunza kitu kaa Kwa kutulia. Kwanzaa nilishapuuza hii Habari baada ya kautafiti kadogo tu. Ila Kwa kuwa umequote acha nikwambie.
Kwanza hiyo meli haiji Tanzania, hiyo Seago piraeus, imetoka India na inaelekea port of Salalah Oman. Ili cross India ocean. Kinachosadikiwa Kuja Tanzania ni container ambalo lilifaulishwa
Transhipment hapo Mundra port India. Sasa India Wali declear Hilo container kama dry cargo na wakalipakia... Ila port ya Mombasa ndio wakaona Kuna mionzi.
Swali ni kwamba Mundra port India walijua Kuna mionzi mikali ila wakadanganya ili container lije tu ila Kenya Waka intercept kulikamata? Au mitambo ya Kenya iko more effecient kuliko ya India?
Pili wangesema origin ya Hilo container ni wapi, maana wametaja tu point of transhipment, tukijua origin na kupata shipping documents tunaweza kujua mwenye mzigo halisi ni Nani na kujua huo mzigo unakwenda wapi na ni Kwa ajili gani..
Otherwise ni Janja janja tu ambazo mzee wetu alikuwa anapenda kusema tuko kwenye vita. Ni porojo tu kama zile za mgonjwa wa Covid (omicron) kupatikana India akitokea Tanzania.
Fungua ubongo, fungua patterns.. India-Kenya-Tanzania...
Sent using
Jamii Forums mobile app