Tetesi: Meli yenye kubeba Radioactive ipo njiani kuja Tanzania

wabongo walivyokuwa wanapenda dili, unaweza kuta washakula chao mwezi mzima wanakula bata Kidimbwi hata hawana habari kama container lenyewe lineshushwa au vipi....

Wasije wahuni wakatelekeza kama walivyotelekeza pale Beirut....
 
Mzigo gani huo?
Usije kuwa wa Omicron [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu ukitua tu unafuata njia ya kile kimbunga Jobo.
Unacheka, wabongo bana, unapewa taarifa ya kitu kinachoweza kuangamiza maisha yako au kukupa magonjwa unachukulia masihara
 
Kwa watanzania na waafrika kwa ujumla, kila kitu hakiko serious mpaka kimuathiri direct. Na sio direct tu, maana kikimuathiri direct atajua ni mabadiliko ya hali ya hewa tu, mpaka apewe na taarifa pia, kua unaumwa kitu fulani kwa sababu ya kitu fulani. Otherwise tumebaji kama walking morons. Inasikitisha
 
Tumshukuru Mungu huenda maisha yetu yatabadilika.
 
Hii mbona sioni watu wanawajibishwa yaani hii issue inachukuliwa poa tu, wahusika washikwe, washitakiwe na walipe fidia kubwa ili iwe funzo kwamba Tanzania is not a dumping ground (tena sio Tanzania tu, bali ulimwengu mzima sababu sumu hata ikitupwa India eventually itatuathiri na huku)
 
Yaani Meli imekamatwa Kenya wewe unasema ipo njiani kuja Tanzania, huwa mnawashwa makalio au ni nini?!
 
Yaani Meli imekamatwa Kenya wewe unasema ipo njiani kuja Tanzania, huwa mnawashwa makalio au ni nini?!

Tuliza munkari, hiyo meli ni kweli ilikuwa njiani kuja Tz ila imerudishwa Kenya kama sikosei ni jana au juzi.
Kuna clip ya taarifa ya habari ya ntv niliona jana
 
Tuliza munkari, hiyo meli ni kweli ilikuwa njiani kuja Tz ila imerudishwa Kenya kama sikosei ni jana au juzi.
Kuna clip ya taarifa ya habari ya ntv niliona jana
‘Ilikuwa inakuja’ , ‘inakuja’ we unaona ni vitu viwili vyenye maana sawa si ndio?
 
Kweupeeh...

Meli ya Tani zaidi ya tano za ngada..imekuja tz ..watu kimyaa..

Na bado..
 
Kwa nn meli ya sumu inaletwa tanzania na taarifa haitangazwi kwenye taarifa ya habari
 
Ni nn asee
 
Halafu Kenya hadi wanatuonea huruma, kwamba tunaweza tukawa hatuna uwezo wa kugundua hilo. Duh! Kweli tunadharauliwa.
 
Halafu Kenya hadi wanatuonea huruma, kwamba tunaweza tukawa hatuna uwezo wa kugundua hilo. Duh! Kweli tunadharauliwa.
Imagine ni wananchi wangapi innocent hawajui kuhusu hili swala. Na je zimeisha kuja meli ngapi mpaka inakamatwa hiyo moja. Je kuna meli kibao zimeisha kuja na kumwaga radioactive material?
Je hata vyakula tunavyokula vinavyotengenezwa viwandani tuviamini, maana hata viwandani kunaweza kutokea rushwa tukachanganyiwa killer chemical.
Je nani wa kumuamini. Je hata tusipoamini serikali, ni kama bado hatuna cha kufanya kama wananchi?
 
Tuliza munkari, hiyo meli ni kweli ilikuwa njiani kuja Tz ila imerudishwa Kenya kama sikosei ni jana au juzi.
Kuna clip ya taarifa ya habari ya ntv niliona jana
Niliona taarifa, Wakenya wakiitaka irudi India inakotokea na mzigo wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…