Mkwara au mapendekezo ya iran ndio yamekubaliwa badala ya mapendekezo ya kifedhuli ya USA..
Angeyakataa mapendekezo ya iran tungeona mkwara umesaidia.
Aliyejishusha hapo ni nani sasa?
Homonz bado ipo chini ya Iran, mapendekezo yote 10 ni faida kwa Iran plus kichapo alichotoa marekani, uyahudini na hao waarabu wanaojipendekeza kwa mabeberuShkurani sana Iran kwa kuitikia shurti ya Trump, kwa kweli hata sisi pro-Israel jameni mioyo ingetuuma kuona wananchi wa Iran wanafanyiwa kile ambacho Trump alikua ametishia kufanya.
===========================
Two ships have passed through the Strait of Hormuz since Iran agreed to reopen the waterway as part of a ceasefire deal, maritime monitor Marine Traffic says.
“The Greek-owned bulk carrier NJ Earth crossed the Strait at 08:44 UTC, while the Liberia-flagged Daytona Beach transited earlier at 06:59 UTC, shortly after departing Bandar Abbas at 05:28 UTC,” MarineTraffic says on X.
Makobasi hajawai kuwa na akili mmengebaki na majivuvuu tuuuMkwara au mapendekezo ya iran ndio yamekubaliwa badala ya mapendekezo ya kifedhuli ya USA..
Angeyakataa mapendekezo ya iran tungeona mkwara umesaidia..mbona wiki nyuma aliyakataa hayo mapendekezo ya iran na saizi ameyakubali..
Aliyejishusha hapo ni nani sasa?
Yes, kuna Tehran TollBooth kila meli yalipa milioni 2 ili iruhusiwe kupita na IRGc ndo wadhibiti wakuu.Homonz bado ipo chini ya Iran, mapendekezo yote 10 ni faida kwa Iran plus kichapo alichotoa marekani, uyahudini na hao waarabu wanaojipendekeza kwa mabeberu
Kama viongozi hakuna hao wanaotaka kufanya nao mazungumzo ni nani ?wanafunziHehehe ndio kete mnayokuja nayo sasa, nakumbuka mlisema hamfungui hata iweje, ni vita kwa kwenda mbele, mkapewa masaa 48, mkatuma wananchi wajazane kwenye hayo maeneo yaliyokusudiwa kupigwa, hatimaye mkafungua mlango wa bahari, mapendekezo ya kitu gani ilhali mumefutiwa viongozi wote, nchi imesambaratishwa, hamna kambi ya jeshi imeachwa salama leo mnasema mapendekezo.....
Homonz bado ipo chini ya Iran, mapendekezo yote 10 ni faida kwa Iran plus kichapo alichotoa marekani, uyahudini na hao waarabu wanaojipendekeza kwa mabeberu
Wakiristo wa jf mtapanda presha bure. Uislam utatawala duniaShkurani sana Iran kwa kuitikia shurti ya Trump, kwa kweli hata sisi pro-Israel jameni mioyo ingetuuma kuona wananchi wa Iran wanafanyiwa kile ambacho Trump alikua ametishia kufanya.
===========================
Two ships have passed through the Strait of Hormuz since Iran agreed to reopen the waterway as part of a ceasefire deal, maritime monitor Marine Traffic says.
“The Greek-owned bulk carrier NJ Earth crossed the Strait at 08:44 UTC, while the Liberia-flagged Daytona Beach transited earlier at 06:59 UTC, shortly after departing Bandar Abbas at 05:28 UTC,” MarineTraffic says on X.
Kama viongozi hakuna hao wanaotaka kufanya nao mazungumzo ni nani ?wanafunzi
Lengo la kufuta utawala imeshindikana bado islamic republican walewale ndio wanaendesha nchi..hard liners
Mbona kila uchwao rundo la mashambulizi yanaelekea nchi zaidi ya 5 kama mmeharibu makambi ya j3shi..mbona rioting ya pentagon inasema iran bado ina significant military capabilities??
Mbona mmeshindwa kuufungua mlangonwa Hormus kijeshi?
Na vipi kuhusu enriched uranium?
Military solution imefeli sasa wamekimbilia kwenye diplomatic solution
Raha kwanba muislam akifa peponi kafiri kama wewe ukifa motoniUislamu ulianza kushindwa baada ya mohammad kuuawa na binti wa Kiyahudi, mpaka leo mnapokea kipigo tu...
Hawajakimbilia kwenye diplomatic solution kwani ilikuwepo hata kabla ya vita kuanza. Marekani ilishinikizwa na Israeli kufanya mashambulizi bila kujidhihirsha uwezo wa Iran kujibu mashambulizi.Kama viongozi hakuna hao wanaotaka kufanya nao mazungumzo ni nani ?wanafunzi
Lengo la kufuta utawala imeshindikana bado islamic republican walewale ndio wanaendesha nchi..hard liners
Mbona kila uchwao rundo la mashambulizi yanaelekea nchi zaidi ya 5 kama mmeharibu makambi ya j3shi..mbona rioting ya pentagon inasema iran bado ina significant military capabilities??
Mbona mmeshindwa kuufungua mlangonwa Hormus kijeshi?
Na vipi kuhusu enriched uranium?
Military solution imefeli sasa wamekimbilia kwenye diplomatic solution
With all due respect Mkuu, you are missing the point.Yaani Iran kwa namna imesambaratishwa, meli zote zimeliwa, mindege hawajaachiwa hata moja, kambi za kijeshi zimebaki mashamba, viongozi wamefutwa wote halafu bado mnaongea kuhusu mapendekezo, mlisema hamfungui, sasa wananchi mliwatuma wafanye nini kwenye maeneo ya umeme, pangepigwa mrudishwe enzi mtume huko...
Mkwara au mapendekezo ya iran ndio yamekubaliwa badala ya mapendekezo ya kifedhuli ya USA..
Angeyakataa mapendekezo ya iran tungeona mkwara umesaidia..mbona wiki nyuma aliyakataa hayo mapendekezo ya iran na saizi ameyakubali..
Aliyejishusha hapo ni nani sasa?
Wakiristo wa jf mtapanda presha bure. Uislam utatawala dunia
Homonz bado ipo chini ya Iran, mapendekezo yote 10 ni faida kwa Iran plus kichapo alichotoa marekani, uyahudini na hao waarabu wanaojipendekeza kwa mabeberuShkurani sana Iran kwa kuitikia shurti ya Trump, kwa kweli hata sisi pro-Israel jameni mioyo ingetuuma kuona wananchi wa Iran wanafanyiwa kile ambacho Trump alikua ametishia kufanya.
===========================
Two ships have passed through the Strait of Hormuz since Iran agreed to reopen the waterway as part of a ceasefire deal, maritime monitor Marine Traffic says.
“The Greek-owned bulk carrier NJ Earth crossed the Strait at 08:44 UTC, while the Liberia-flagged Daytona Beach transited earlier at 06:59 UTC, shortly after departing Bandar Abbas at 05:28 UTC,” MarineTraffic says on X.
Kama ni hivyo na vipi kuhusu regime changeYaani Iran kwa namna imesambaratishwa, meli zote zimeliwa, mindege hawajaachiwa hata moja, kambi za kijeshi zimebaki mashamba, viongozi wamefutwa wote halafu bado mnaongea kuhusu mapendekezo, mlisema hamfungui, sasa wananchi mliwatuma wafanye nini kwenye maeneo ya umeme, pangepigwa mrudishwe enzi mtume huko...