Meli zimeanza kupita kwenye mfereji wa Hormuz. Ule mkwara umesaidia

Hakuna makubaliano kwanza Iran ilikataa kuzungumza na marekan kabisa wakasema Hormuz haitafunguliwa walivyoambiwa watachakaa ndo dakika zajioni wakakubal kufungua we unaleta tena porojo et masharti
 
Kila vessel inayopita hormuz ni lazima ilipie charge fee kwa Yuan na sio kwa dollar, ceasefire btn two weeks only etc alafu kuna mbususu hapa inasema Iran kasalimu amri kwa Trump!Pathetic
Iran ilishakataa mazungumzo yoyote namarekan nawakasema Hormuz haitafunguliwa waliposikia masaa yanazid kuisha total destruction inakuja ndo wakamua kufungua wenyewe af unaleta tena longolongo oooh iran ndo imeweka masharti
 
Iran ilishakataa mazungumzo yoyote namarekan nawakasema Hormuz haitafunguliwa waliposikia masaa yanazid kuisha total destruction inakuja ndo wakamua kufungua wenyewe af unaleta tena longolongo oooh iran ndo imeweka masharti
Uliza wenzako Iran amekubali kufungua Hormuz kwa masharti au kaufyata?
 
Wayahudi weusi kitoka maeneo mbalimbali Uyole, Kwimba. Makete, Ngudu, Kishimundu, Mvumero, Mahina, Nyambiti, Mkendo, naona wanajifariji😂
Hahaha! Kwanini ngudu?
 
Raha kwanba muislam akifa peponi kafiri kama wewe ukifa motoni

Huwa mnadanganywa eti Muislamu akifa huwa anakwenda kucheza porn movie na mabikira 72 huku Allah wenu akitazama movies za ngono kote, ni ujuha sana huo.
 
Na hapo US anasema ametumia asilimia 10 tu ya uwezo wake
Angeongeza kutumia asilimia 40 sijui hali ingekuwaje,yangerudi yale ya hiroshima
10% ni nyingi sana ukilinganisha na nguvu alizotumia Iran ya 2.5%
 
Mnaposema ndege meli sijui jeshi lote limesambarayishwa huwa mnatumia ubongo au kifaa gani cha mwili kufikiri? 😁
 
acha kuandika kikobazi, ni meli za kimagharibi na kimarekani tu zilikuwa haziruhusiwi? Mbona bei ya mafuta Tanzania imepanda?
 
Na hapo US anasema ametumia asilimia 10 tu ya uwezo wake
Angeongeza kutumia asilimia 40 sijui hali ingekuwaje,yangerudi yale ya hiroshima
na kama iran ina uwezo kijeshi kwa nini inapiga kambi za kijeshi zilizo katika mataifa jirani tu? Si kama mwanaume kama US, si aelekeze mashambulizi moja kwa moja US? wakubwa wote wameuliwa,miundombinu, na vitu kadha wa kadha yameharibiwa halafu bado tu wanasema wana uwezo. uwezo au akili matope. iran wametepeta na wangeendelea kukaza wangerudishwa zama za mawe za mwanzo. Mwenye nguvu mpishe mbali.
 
Tehran na Karaj zinashambuliwa muda huu.
 
Hakuna mapendekezo yaliyokubaliwa na Jumamosi ndio mazungumzo yanafanyika, watu sijui mpaka muandikiwe kilugha ndio muelewe ni shida sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…