Melkiori Mahinini, Mtanzania aliyekuwa ametekwa nchini Nigeria, aachiwa huru

Watu bwana, sasa mtu unaenda Nigeria unatuata nini huko? Ndiyo hawa wakitoka huko kurudi Bongo wanafungua makanisa ya kishikaji na kufuga ndondocha humo ndani na kujikusanyia makondoo kibao wakiwauzia maji ya uzima na mafuta ili wawe matajiri na kupata wachumba na bado hawafanikiwi tu.
 
Alitekekewa akiwa matembezini au wapi

Je ,kanisa au serikali wamelipa chochote hitajiwa na watekaji
 
Katoka Nigeria huyu Muha, basi subirini.....sasa hivi mtasikia anafuga misukule na kafungua kanisa lake la ufufuo na kuabudiwa na mikondoo kibao isiyojitambua akili.
 
Mkuu umeambiwa ni kanisa katoliki sio huo utapeli unaoufikiria ndio maana muhanga ametambulishwa kama frateli unaelewa frateli ni Nini? Usikurupuke
 
Mkuu umeambiwa ni kanisa katoliki sio huo utapeli unaoufikiria ndio maana muhanga ametambulishwa kama frateli unaelewa frateli ni Nini? Usikurupuke
Narudia tena, mafrateli hawa hawa mwisho wa siku ndio ufungua makanisa ya kishikaji na kuanza kuilaumu Roman Catholic ili wapate wafuasi wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…