Tetesi: MELT group walikopa Billion 250 kutoka benki ya Maendeleo ya Africa Kwa kutumia Kiwanda Cha Musoma textile Mills?

Hujitambui, MUTEX ingekuwa na mitambo ya maana isingekufa
Sijitambui??? Unajua kilichoiuwa Urafiki Textile?mitambo iliyosimikwa MUTEX miaka 40+ iliyopita bado ingalipo active na inafanya kazi huko ilipo??Mo pia anamiliki 21 st Century Textile(zamani Polyster) Morogoro na ndie anae zalisha Nguo za Jeshi la Tanzania na kwengineko. Technologia kila kukicha inabadilika.Kama ujui kitu usilete ujuaji na hasira zako za kipumbavu
 
Tunampenda Boss wetu, anatufariji mara kwa mara sisi wanaSimba.
 
Bila uthibitisho hizi bla bla story za kufikirika
 
Hawa wafanyabiashara wakubwa wa kiindi wapigaji sana wametafuna sana nchi hii
On the flip side, wanaokula inji kwenye halmashauri, serikali kuu na mashirika yake ambao hutajwa kila mwaka na CAG ni wazalendo wazawa weusi ambao hukaa front lines kwenye nyumba zetu za ibada nasi huwatukuza kwa kuwaita smart people au wajanja...
 
We unashangaa hiko, hujiulizi kwanini mashamba ya mikonge kule Tanga walihodhi makubwa halafu wanaweka miche miwili mitatu kuzuga ila huo mkopo unaochukuliwa hiyo Ardhi ni balaa, then wanaenda ku-finance viwanda vyao huko kwingine

Mzee Baba alipoanza kufuta leseni na kuchukua mashamba yasiyoendelezwa (maeneo mengi yalikuwa yanamilikiwa na serikali kupitia zile mashirika ambayo yalikufa ) na kupewa wananchi akaonekana ana chuki na matajiri, je hii ni kweli?

Yaani ni kama hivi, umechukua shamba la hekari 300 Tanga, unapanda mikonge au kingine etc Hekari 30, afu heka 270 zinabaki vichaka vya miba, unaenda kuchukulia mkopo benki mamilioni ya fedha then unaenda kujenga/ kuendeleza kiwanda huko Mwanza

Wakazi wa maeneo jirani na shamba, ajira hawapati maana shughuli hakuna, kibarua hakuna, kulisha mifugo hawaruhusiwi, ka-eneo ka kulima hawana lakini ardhi ipo tu inawaangalia.
 
Uko sahihi mkuu mzalendo wa ukweli.
 
MO tapeli sn, katapeli mpk fedha za Simba
 
On the flip side, wanaokula inji kwenye halmashauri, serikali kuu na mashirika yake ambao hutajwa kila mwaka na CAG ni wazalendo wazawa weusi ambao hukaa front lines kwenye nyumba zetu za ibada nasi huwatukuza kwa kuwaita smart people au wajanja...
Sub Saharan Africa ni mwendo wa kuchumia tumbo tu. Uzalendo upo Ulaya tu mkuu.
 
Yaani ni kama hivi, umechukua shamba la hekari 300 Tanga, unapanda mikonge au kingine etc Hekari 30, afu heka 270 zinabaki vichaka vya miba, unaenda kuchukulia mkopo benki mamilioni ya fedha then unaenda kujenga/ kuendeleza kiwanda huko Mwanza
Mkuu, si amenunua? Au sio mali yake?
 
Analipa hilo deni au halipi?

Sasa ndiyo mtamuelewa mama Samia anapoyafanya mashirika ya umma kuwa ya umma kweli:

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…