Tetesi: MELT group walikopa Billion 250 kutoka benki ya Maendeleo ya Africa Kwa kutumia Kiwanda Cha Musoma textile Mills?

Kiwanda chenu si Bado kipi huko Mara au? Kwani kimeondolewa? Na nyie kakopeni mkiendeleze Sasa.

Wajinga ndio waliwao,naunga mkono Mo.
 
Umesoma argument yake? Unachukuaje mkopo Kwa business plan A kisha unaenda kutekeleza plan B? Hujaelewa kuwa anakwambia huo ni uhujumi uchumi? Maana katika justification hizo ajira lazima ziliwekwa Kwa mfano etc
Hizo businesses A na B ni mali ya nani??
 
Ila wabongo ni wajinga sana katika mambo mengi. Hata asome vipi, yaani hata awe ni Professor wa Udsm maadam ni Mbongo bado atabakia kuwa mjinga tu. Wabongo wengi akili zao hazijachangamka na ndio maana huwa wanaingizwa mkenge kirahisi sana.
 
Huo ujanja kaufanya Sana, sio Mutex peke yake hata take mashamba ya katani alichukulia mkopo lakini pesa alipeleka sehemu nyingine.
Wakati anapiga kelele kuhusu uwekezaji was Simba kukwamisha, aliyekuwa mkuu was mkoa was Mara Adam Malima aliwashangaa Simba na kusema huyu Mutex imemshindwa he Simba ataiweza.
Ila anawachota watu akili kwa kutumia mpira.
 
Lengo la mkopo kupanua kiwanda hicho cha Musoma Textile lakini Fedha zile Mo walienda kujengea kiwanda Cha Mo energy Vingunguti,
Mjinga ndio anaweza kwenda kuweka pesa kwenye kiwanda chakavu.

Yaani maviwanda yamejifia Toka enzi za Mwalimu harafu teknolojia imepitwa mtu anasema eti akakifufue,wewe unaona inawezekana?

Hayo labda yageuzwe maghala la sivyo vunja Kila kitu Anza Upya.
 
ELezea kivipi alichofanya ni uhuni?
 
Hujitambui, MUTEX ingekuwa na mitambo ya maana isingekufa
Maviwanda Yako outdated, teknolojia ya enzi ya Vita Baridi harafu kuna.wajinga kabisa wanakwambia ufufue kiwanda how?

Nawapongeza waliochukua mikopo hiyo plot na kwenda kujenga viwanda vipya.
 
Oyaaa acha basi kufatilia maisha au hela za mwanaume mwenzako hasa mwenye asili ya Asia, tabia zao sio nzuri....utaliwa mkuu
 
Leta USHAHIDI tuone malalamiko ya wakopeshaji wa hizo billion!
Je, wauzaji wa kiwanda wanalalamika?
Je, huyu mbunge hapa hakujua kuwa Mutex ishuzwa?Serikali Kufufua Kiwanda cha Nguo cha MUTEX Musoma
 
Wafanyabiashara wengi Matapeli ndiyo watu wa karibu wa Chief Hangaya!
 
Wewe lazima utakuwa ni Hamis Kigwangala
 
Mo janja janja nyingi, 100% ya matajiri bongo mali zao ni za kifisadi na wanashirikiana na watu watanzania tuliwaamin kama wasimamizi wa ........tuache ujinga sisi tutakufa kama watumwa wa .....tusimame tupiganie kizazi kijacho kisiishi maisha tulioishi, Makufuli words "hii nchi ni tajiri"
 
Kwahiyo umekubaliana na mleta mada kuwa kuna kiwanda kilikuwa na wafanyakazi laki moja? Majimbo kibao Tanzania Watu wamepata ubunge KWA kupata kura chino ya laki moja.
Yaani umekubaliana na data za mleta mada kabisa. Kama kiwanda cha mkoa wa Mara kina wafanyakazi 100,000 je cha Dar es salaam kitakuwa na wafanyakazi wangapi?

Tufanye ni kweli. Tufanye kila mfanyakazi KWA wastani analipwa 100,000/= KWA mwezi.
100,000x100,000=10,000,000,000
Ambayo ni bilioni 10 kila mwezi kama mshahara ambayo ni bilioni 120 KWA mwaka kama mshahara.

Kiwanda kiwe Mara kilipe bilioni 120 kama mshahara kwa mwaka.


Ikiwa nchi ina viwanda 400 vyenye ukubwa kama cha Musoma jumla ya wafanyakazi itakuwa
100,000x400=40,000,000=40m

Watu 40m wawe viwandani Tanzania. Inakuja kweli?

Unapokosea data moja inafanya Watu wawe na shaka na data zingine
 
Matajriri wakubwa wote bongo wana asilii ya ushombeshombee kasoro Mengi ndo alikuwa pure african...nadhani sababu wabongo tunabaniana sana na hatupendi kuona wengine wanatoboa kabisa. Mtanzania kupewa hekta zote hizo awekezee ni ndotooo wanataka anunue kwa cash... wakujaa anapewa shambaa la mchongoo apate helaa za buree awekezee mbongoo hata bandarii unanyanganywaa apewe muarabu
 
Kwa logic ya kawaida Mie nikija na kisimu changu cha elf50 kama dhamana ili nikope elf50 huwezi Nipa, sana Sana umenionea huruma utanipa elf15 so kama mo alikopea bilioni 250 basi hicho kiwanda kutakuwa na thamani ya tilioni moja.
Mo ana viwanda vingi! Bank inaruhusu kukopa na kuweka dhamana zaidi ya moja kutokana na ukubwa wa Mkopo. MUTEX inaweza kuombewa mkopo ata wa Bilion 600 ikawa part ya dhamana kwa Bank
 
Sina shaka hii comment yako, imesukumwa na UTOPOLO wako! Kila likija suala lenye U- MNYAMA MNYAMA, lazima fahamu zikutoke!
Hakuna cha utopolo, wala nini. Wafanyabiashara wengi wakubwa wa Bongo wametajirika kupitia njia za ujanja ujanja tu.
Hata GSM mwenyewe anayeidhamini Yanga, hana tofauti yoyote ile na Mo.

Na hata mimi nikipata nafasi kama hiyo, siwezi kuiacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…