Tetesi: MELT group walikopa Billion 250 kutoka benki ya Maendeleo ya Africa Kwa kutumia Kiwanda Cha Musoma textile Mills?

So Inawezekana kitakuwa ni kiwanda cha kuzalisha uongo sasa na sio vitenge tena!!
 
Mo ana viwanda vingi! Bank inaruhusu kukopa na kuweka dhamana zaidi ya moja kutokana na ukubwa wa Mkopo. MUTEX inaweza kuombewa mkopo ata wa Bilion 600 ikawa part ya dhamana kwa Bank
So unamanisha hizo bilioni 250 alizokopa si Kwa kutumia dhamana ya mutex pekee kachanganya na dhamana ya viwanda vyake vingine? Hebu ongeza sauti ili mleta Uzi naye asikie vizuri!!
 
So unamanisha hizo bilioni 250 alizokopa si Kwa kutumia dhamana ya mutex pekee kachanganya na dhamana ya viwanda vyake vingine? Hebu ongeza sauti ili mleta Uzi naye asikie vizuri!!
Dhamana si sababu pekee ya mtu kupata mkopo, acheni upotoshaji
 
Mo anatafutwa uchawi bure tu, ni nani aliyempa Mo viwanda vyetu?
CCM ndiye adui yetu mkubwa
 
Lini hiyo ilitokea?
 
Hizo businesses A na B ni mali ya nani??
Kwani nani anampa lessni ya biashara? We acha maswali yasiyo na hoja....Kuna rights na responsibilities ndiyo sababu ukijaribu kujiua tukikudaka tunakuhukumu, kwani uhai unakuwa wa nani? Nenda kajifunze kwanza uraia
 
Mpaka zile machine kule ndani tulisha toa acha kuhangaika na wewe jitafutie pa kuegeka
 
METL amenunua mashamba na viwanda vya serikali kwa ajili ya kuombea mikopo kama collateral si kwa ajili ya kulima wala kufanya biashara Muddy na baba yake ni matapeli na wala hawana mpango wa kulipa hayo madeni.
 
Kama alinunua bila masharti ya kukiendeleza hana kosa lolote kisheria kati yake na muuzaji(serikali).
Masharti ya mkopo ni kati yake na benki.
 
Ukiskia mku**u matatani ndio wewe sasa EADB tathmini ya jumla ya mali zao frm 2017 haizidi dola million390, itawezekanaje kutoa mkopo wa billion250 kwa mtu mmoja?
 
Hivi ni kwanini hawa wenzetu ni janjajanja sana? Na siku wamepamba moto kumtetea DPW
Kwan wewe hutaki DPW achukue bandari? Miaka 62 toka uhuru bandari imefanya nn cha maana??
 
πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Fikra za kimasikini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…